Narudia tena: Kijana acha uzinzi

20240128_151852.png


PambanaZaidi/CottonandMore
 
Mimi naona maisha ni kama hayana formula, maana kuna watu siyo walevi na siyo wazinzi ila hakuna cha maana tunachomiliki.
Hiyo afya tu unayoimiliki inatosha,hao kwenye kundi la kwanza wenye sifa ulizozitaja hapo juu wengi wana sukari pressure na figo hazifai.

Hao kundi la pili wanaishi kwa tembe za dawa na wasiwasi wanaona kama kesho hawataiona visababishi vikiwa hivyo ulivyotaja hapo juu.
 
Back
Top Bottom