Elections 2010 Narudi kinyume-nyume: Hodi hodi jamvini!

Ng'wanangwa

JF-Expert Member
Aug 28, 2010
10,827
4,172
Jamani habari za mchakato!

Mimi ni mgeni kidogo JF.

Nimeimiss JF. Tangu enzi za Uchaguzi mdogo wa Tarime.

Nini kinaendelea hapa JF?
 
Unarudi kinyume nyume kwani wee mchawi?? Maana nasikia wachawi ndio zao kurudi kinyumenyume. Inaonekana kama sio mgeni vileeee!!!!!!!!!! Tehe tehe tehe tehe tehe tehe tehe!!!!!!!!!! Nahisi ka umebadili jina na kujisajiri upya.
Anyway, hapa JF mambo ni shwari. Kinachoendelea sasa hapa ni kampeni za uchaguzi mkuu oktoba 31, 2010.
 
shhhhhh!!!
 
Back
Top Bottom