Napinga vikali ushindi Diamond MTVEMA, Ni hujuma dhidi ya Sanaa ya Mwafrika

hahaaaa utakufa kwa Presha siku si zako.Diamond habari ingine.
 
Kwanza nianze kutoa pongezi kwa msanii Alikiba kuimara wake kwenye game tangu arudi kufuta vumbi kiti chake.

Secondly, Ifahamike kwamba mimi ni mtu mwenye mawazo huru, nina haki kupongeza, kukosoa na hata kushauri.

Ushindi wa Mondy kule MTVEMA sidhani kama kweli umezingatia vigezo, how comes Huyu Nassib amshinde Wizkid mtu aliyekubarika hata na Drake? MTVEMA wanapata wapi ujasiri wa kumpa ushindi Nassib ili atuwakilishe Africa? Naamini kabisa hizi ni hujuma za wazungu katika kumkandamiza mwafrika yeye na sanaa yake, ndiomana wameamua kumpa ushindi mtu dhaifu kama Mondy ili kirahis ushindi ujao uende kwa star wa kihindi. Hapa ipo hujuma kubwa sababu walijua wangemuweka Wizkid huko mbelen isingekuwa rahis kwa huyo binti wa kihindi kushinda, ila sasa kwakuwa wameweka pazia, basi hakuna namna lazima Africa ishindwe tu.

Stop racism.

basi kashinde wew
 
kubwa jinga
 
mimi hata simuelewi huyu mkuu..
ninachoelewa..
1-diamond anajituma
2-analala hadi studio
3-hajawahi kupumzika kutoa tracks..
4-mbunifu
5-track zake zinagusa hisia za wengi
6-kuna ubaya gani mtanzania mwenzetu mwenye sifa kupokea tuzo hizi ?
7-anakubalika nchi nzima kwa jinsi kazi zake zilivyotulia..
8-mkuu Kiba yupo vizuri lakini Diamond yupo vizuro zaidi kama Ronaldo..
ndio maana tuzo kila siku.
 
loh! Mbona wewe ndiye umeanza na ushabiki.rip filikunjombe.

Inshort kinasumbua kaunafki ww unadhani kuna m2 hawezi Dimond atashinda na hii ni ishara ya Tanzania kuweza na pia kumbuka ndani ya miaka mitano ya uongozi shupavu wa magufuli tz inakuwa developed country sasa wy tusikabane koo nao walioweza na cc kuwa ka wao
 
mimi hata simuelewi huyu mkuu..
ninachoelewa..
1-diamond anajituma
2-analala hadi studio
3-hajawahi kupumzika kutoa tracks..
4-mbunifu
5-track zake zinagusa hisia za wengi
6-kuna ubaya gani mtanzania mwenzetu mwenye sifa kupokea tuzo hizi ?
7-anakubalika nchi nzima kwa jinsi kazi zake zilivyotulia..
8-mkuu Kiba yupo vizuri lakini Diamond yupo vizuro zaidi kama Ronaldo..
ndio maana tuzo kila siku.

Kingine mwambie akumbuke kazi ndo hukubaliwa na watu co ww diamond anachapa kazi yaani kataa utakubali "hapa kazi tu" mahaba na vngne vya kwako
 
Hii hatua aliyofika mondi inahitaji nguvu sana ths Y nimerudisha nguvu mkuu. Na ntavote sana..

Shikamoo, si ndo maana nakupenda bwana! Hivi unafikiri nilifurahi kukupoteza?

Btw Shardcole kumbe kigezo kilikuwa kukubalika na Drake? Oge oge. ......Basi upeleke hako kakigezo chako huko MTVEMA ili ukapinge, JF have nothing to do with MTVEMA. Acha kelele.
 
Last edited by a moderator:

Haha Marahabaaa en lov you mingi mingi" m pia nilijisikia mpweke sana kuwa nje ya my team" wcb4life
 
Last edited by a moderator:
Hii tuzo waliowahi kusimamishwa afrika wote hawajawahi kushinda

diamond nakuaminia ninyooshee mchopanga kama kura napiga kinomaaaaaa

nikilalaa naota tuzo tu!!!
 
Kwanza nianze kutoa pongezi kwa msanii Alikiba kuimara wake kwenye game tangu arudi kufuta vumbi kiti chake.

Secondly, Ifahamike kwamba mimi ni mtu mwenye mawazo huru, nina haki kupongeza, kukosoa na hata kushauri.

Ushindi wa Mondy kule MTVEMA sidhani kama kweli umezingatia vigezo, how comes Huyu Nassib amshinde Wizkid mtu aliyekubarika hata na Drake? MTVEMA wanapata wapi ujasiri wa kumpa ushindi Nassib ili atuwakilishe Africa? Naamini kabisa hizi ni hujuma za wazungu katika kumkandamiza mwafrika yeye na sanaa yake, ndiomana wameamua kumpa ushindi mtu dhaifu kama Mondy ili kirahis ushindi ujao uende kwa star wa kihindi. Hapa ipo hujuma kubwa sababu walijua wangemuweka Wizkid huko mbelen isingekuwa rahis kwa huyo binti wa kihindi kushinda, ila sasa kwakuwa wameweka pazia, basi hakuna namna lazima Africa ishindwe tu.

Stop racism.

nani alikuambia wizkid alikuwa kwenye iyo category?
 
Utakufaaa buree kwa umasikin wako..toka ulivoanza mwanzo nmetambua ww nikutoka kundi gani nkafanya kama cjaona nimekusoma hadi mwisho nmegundua kichwani mwako mnavumbi badoo...subir 25 october uone kama chopra ataondoka na tunzo au dangote
 
Kwanza nianze kutoa pongezi kwa msanii Alikiba kuimara wake kwenye game tangu arudi kufuta vumbi kiti chake.

Secondly, Ifahamike kwamba mimi ni mtu mwenye mawazo huru, nina haki kupongeza, kukosoa na hata kushauri.

Ushindi wa Mondy kule MTVEMA sidhani kama kweli umezingatia vigezo, how comes Huyu Nassib amshinde Wizkid mtu aliyekubarika hata na Drake? MTVEMA wanapata wapi ujasiri wa kumpa ushindi Nassib ili atuwakilishe Africa? Naamini kabisa hizi ni hujuma za wazungu katika kumkandamiza mwafrika yeye na sanaa yake, ndiomana wameamua kumpa ushindi mtu dhaifu kama Mondy ili kirahis ushindi ujao uende kwa star wa kihindi. Hapa ipo hujuma kubwa sababu walijua wangemuweka Wizkid huko mbelen isingekuwa rahis kwa huyo binti wa kihindi kushinda, ila sasa kwakuwa wameweka pazia, basi hakuna namna lazima Africa ishindwe tu.

Stop racism.
Kwanza tatua tatizo lako la R na L kisha tutakujibu
 
hizo tuzo ni upuuzi mtupu mtu mwenyewe aliyepewa hana hata wimbo moja wa maana yaani anaimba pumba tu pili perfomance zake majukwaani ni 0.0000%
 
Back
Top Bottom