NAPENDEKEZA: Wanajamvi tuliopo Dar na wale watakaopenda TUKUTANE

laiti watu JF wangekutana na kujuana naamini JF ingepoteza wanachama wengi sana wangebaki wa chama cha kijani tu na wale wasiopost chochote kibaya cha sirikali, na wanausalama wangekuwa busy kututafuta kila leo.
 
Waiii nikajua unataka tukutane kweli kumbe umbe umbea tu........

no offence or anythng but nimeona hii post mpaka nikas2ka its xactly wat my mom used 2 say most of the times esp the ،waii، part! Duh me pia uzi haunihusu ila hii post imeni intrigue
 
  • Thanks
Reactions: LD
Hivi hamuogopi eeeh, mkutane sehemu ya wazi halafu wazee wa mabwepande wawaangalie tu. Labda mkakutanie USA maana kwa jinsi wengine mnavyofunguka humu ndani mkionekana laivu watawala nyama.
 
Watanzania na Uoga huu,safari ndefu mno iko mbele yetu,na CCM itaendelea kuwa oyee.
 
Me siji Ng'o, watanitafuta hadi kesho, na wewe mtoa usije kua ndo mtumwaji!!
 
Back
Top Bottom