babe S
JF-Expert Member
- Dec 12, 2011
- 3,879
- 20,853
Hilo la tano litatufanya tuondoke na stress bure.
Na hiyo namba 4 imekaa kiumbea umbea.
Hahahahaha
Hilo la tano litatufanya tuondoke na stress bure.
Na hiyo namba 4 imekaa kiumbea umbea.
Hata dar tuliweza natumethubutu kwani tuliweza kuwa nakitu kinachotukutanisha angalau mara moja kwa mwezi..Tuna saccos....hivyo kama unataka..PM The Finest for further details!!Nadhani hili la kukutana face to face wanaliweza watu wa Arusha..Hap Dar sijui kama inawezekana...Sikukatishi tamaa lakini....
Bad idea.
hivi brave inaanzia ngapi?
tukutane kwenye uwanja wa mwembe yanga, pale patatutosha kabisa.
Hilo la tano litatufanya tuondoke na stress bure.
Na hiyo namba 4 imekaa kiumbea umbea.
Bad idea.
Kuna wengine wamepiga karolaiti unataka waumbuke
kweli mkuu? Hakuna bwn, mbona humuni wasomi bwn? Sidhani kama wapo bwn.
Mzee isijekua uko Kino,unazuga uko Mkoa .. Unahofu CCMABWE?
Tukutane tarehe 8 august,let say Bagamoyo mfano Livingstone hotel.,mimi ningependa kuunga mkono let's meet.pangeni na toeni mwongozo
Ni kweli mkuu, ulichowalilisha naunga mkono hoja,Kabla sijasema ntakayosema ngoja nikupe ka fact kamoja hivi,
Zamani social networking ilikuwa inafanyika kwa watu kukutana katika maeneo tofauti tofauti ambapo ndipo waliweza kujuana na kuongea mambo mbalimbali. Lakini kadri teknolojia ilivyokuwa inakuwa imefanya zile social gathering ziwe na wigo mpana zaidi kwa maana kwamba sasa sio lazima utembee kutoka nyumbani kwako ili ukazungumze na rafiki yako wa mtaa wa pili coz unaweza kumpigia simu, email, sms, skype na nyingine nyingi. Hii pia imefanya hata utoaji wa maoni uwe mpana zaidi kwa maana kwamba mtu anaweza kutoa maoni yake popote alipo na watu wengi zaidi wakayapata kwa kutumia online social gatherings kama ilivyo JF na nyinginezo unazozijua wewe.
Sasa katika gatherings za siku hizi kila moja inakuwa na purpose yake na inapofikia kwamba the online has gone beyond online ni kitu kizuri pia lakini sio lazima online iende uso kwa uso. Sasa kwa JF kama ulivyoona wengi wanatumia IDs ambazo hazikufanyi umjue mtu husika tofauti na FB ambayo unaweka jina na picha yako iliyophotoshipiwa vizuri ili watu wakujue. So wengi wa waliopo hapa wanataka kufanya sauti zao zisikike huku wakiendelea kuwa anonymous. So kwa mtizamo huo itakuwa ngumu sana kuwaconvice wengi wao kukutana kwa mtindo wetu ule wa kizamani wa uso kwa uso.
Nyani Ngabu, why? JF ni kichaka cha watu wasioonana? Sema tu labda ajenda za kukutana tuzijadiri ila mimi sioni ubaya.