Nape Vs Mnyika; Nani zaidi?

Kimilidzo

JF-Expert Member
Jan 3, 2011
1,346
613
Baada ya kuangalia uchambuzi wa kitoto wa katibu mwenezi wa moja ya vyama vikongwe kabisa barani Afrika kuhusu bajeti mbadala ya upinzani, na baada ya kugundua kuwa hajui kwanini mabunge ya jumuia ya madola yanatoa nafasi kwa wapinzani kuja na bajeti mbadala na sio kuja na bajeti ya kutekeleza ahadi za kampeni nimelazimika kuwaomba wadau tujadili kuhusu huyu jamaa kama angekuwa mbunge wa ubunge. Wana ubungo ikibidi muwe mstari wa mbele kuchangia.....
Nape alipoitosa CCJ na kutaka kujiunga na CDM aliwapa masharti ya kupewa nafasi ya kugombea ubungo badala ya Mnyika, CDM wakamtosa. Kama hiyo haitoshi akachukua fomu kwa wazee wa magamba kugombea ubungo hiyo hiyo akagalagazwa na yule mama. Hoja yangu ni je kama Nape angekuwa mbunge wa ubungo, na Mnyika alivyo mbunge wa ubunge sasa, nani anamfunika mwenzie katika suala zima la uchambuzi wa hoja na kuweza kuongoza wananchi??? Huenda Nape ana vitu fulani vya ndani sisi hatuvijui itakuwa poa tukijuzwa, so do Mnyika..,
 
Nape ni debe tupu mpiga porojo, wakati Mnyika ni mchapoakazi, kijana na MAKINI , ASIYE NA DOA LA UPUUZI NA USALITI
 
Eee bwana eee hebu acha utani bwana!

Yaani NEPI nayo uilinganishe na Mnyika? Huyo jamaa hamnazo!!!
 
Baada ya kuangalia uchambuzi wa kitoto wa katibu mwenezi wa moja ya vyama vikongwe kabisa barani Afrika kuhusu bajeti mbadala ya upinzani, na baada ya kugundua kuwa hajui kwanini mabunge ya jumuia ya madola yanatoa nafasi kwa wapinzani kuja na bajeti mbadala na sio kuja na bajeti ya kutekeleza ahadi za kampeni nimelazimika kuwaomba wadau tujadili kuhusu huyu jamaa kama angekuwa mbunge wa ubunge. Wana ubungo ikibidi muwe mstari wa mbele kuchangia.....
Nape alipoitosa CCJ na kutaka kujiunga na CDM aliwapa masharti ya kupewa nafasi ya kugombea ubungo badala ya Mnyika, CDM wakamtosa. Kama hiyo haitoshi akachukua fomu kwa wazee wa magamba kugombea ubungo hiyo hiyo akagalagazwa na yule mama. Hoja yangu ni je kama Nape

angekuwa mbunge wa ubungo, na Mnyika alivyo mbunge wa ubunge sasa, nani anamfunika mwenzie katika suala zima la uchambuzi wa hoja na kuweza kuongoza wananchi??? Huenda Nape ana vitu fulani vya ndani sisi hatuvijui itakuwa poa tukijuzwa, so do Mnyika..,
ungekuwa mwalimu ungeshafukuzwa kazi kwa kuwatajia majibu wanafunzi, unauliza ukiwa umeshatanguliza jibu, hii mitu hii inatoka wapi!
 
kama ni vyombo vya usafiri, basi.
Nape=Baiskeli ya miti,
Myika=Hummer
 
Mnyika ndio kichwa CDM, yaani chama kinaendelea kuwepo kwa sababu ya uwepo wake, kwa hili nakubaliana na CDM kata kuwa Mnyika ndio kichwa chao.
 
Baada ya kuangalia uchambuzi wa kitoto wa katibu mwenezi wa moja ya vyama vikongwe kabisa barani Afrika kuhusu bajeti mbadala ya upinzani, na baada ya kugundua kuwa hajui kwanini mabunge ya jumuia ya madola yanatoa nafasi kwa wapinzani kuja na bajeti mbadala na sio kuja na bajeti ya kutekeleza ahadi za kampeni nimelazimika kuwaomba wadau tujadili kuhusu huyu jamaa kama angekuwa mbunge wa ubunge. Wana ubungo ikibidi muwe mstari wa mbele kuchangia.....
Nape alipoitosa CCJ na kutaka kujiunga na CDM aliwapa masharti ya kupewa nafasi ya kugombea ubungo badala ya Mnyika, CDM wakamtosa. Kama hiyo haitoshi akachukua fomu kwa wazee wa magamba kugombea ubungo hiyo hiyo akagalagazwa na yule mama. Hoja yangu ni je kama Nape angekuwa mbunge wa ubungo, na Mnyika alivyo mbunge wa ubunge sasa, nani anamfunika mwenzie katika suala zima la uchambuzi wa hoja na kuweza kuongoza wananchi??? Huenda Nape ana vitu fulani vya ndani sisi hatuvijui itakuwa poa tukijuzwa, so do Mnyika..,

Hapo mkuu ni kama unamfananisha MESSI na NGASSA au MANDELA na Mzee MAKAMBA au SIMBA na MAN U.............Nape kwa Mnyika ni Houseboy tu...ana mawazo finyu,uwezo mdogo wa kuchambua mambo,na mfuata upepo............
 
Eti unalinganisha kati ya chuma na kijiti,kati ya kijito na mto,kati ya bati na dhahabu...ukitaka jibu mfate dada mmoja alafu muulize kati ya dhahabu na bati anapenda kipi
 
ukifananisha nape na mnyika ni sawa kufananisha kcihuguu na mlima kilimanjoro, nape sawa na kichuguu mnyika ni mlima kilimanjaro.
 
Nape ni vuvuzela anawaza kwa kutumia makamasi badala ya ubongo,ana fikra mgando huwezi kumfananisha hata kidogo na MNYIKA,MNYIKA ni kichwa balaa.ANGUKO LA CCM LIMETIMIA.
 
Kuna njia nyingi za kuwatofautisha! Mnyik ayupo juu zaidi ya NAPE. Mimi ni mwana-Ubungo, kazi aliyoifanya Mnyika Nape anahitaji miaka Mi-5 KUIANZA!! Kati ya wapiga kura wenye matumaini Tanzania ni wale wa Ubungo! Kwa kifupi naweza kuwatofautisha NAPE na MNYIKA kwa njia zifuatazo...
  1. MNYIKA = LIONEL MESSI (Barcelona) wakati NAPE = MWAIKIMBA
  2. MNYIKA = BAN KI MOON wakati NAPE = MWENYEKITI WA SERIKALI YA MTAA WA MCHAFUKOGE
  3. MNYIKA = MANCHESTER UNITED huku NAPE = MABIBO COMBINE
  4. MNYIKA = CNN wakati NAPE ni = NJOMBE TV
  5. MNYIKA ni sawa na NUCLEAR ENERGY wakati NAPE ni kama KUNI ZA MABUA
  6. MNYIKA ni sawa na SIMBA huku NAPE ni sawa na PANYA
  7. Kama ni ukatoliki MNYIKA ni sawa na PAPA BENEDICT wakati NAPE ni sawa na MTOTO ANAYEKARIBIA KUPATA KOMUNIO YA KWANZA
  8. MNYIKA ni MBUYU wakati NAPE ni MCHICHA ULIONYAUKA
  9. MNYIKA NI KAMA DENZIL WASHINGTON wakati NAPE ni sawa na MWANFUNZI WA KANUMBA
  10. MNYIKA NI BAHARI wakati NAPE ni KIKOMBE CHA KAHAWA
 
Back
Top Bottom