Nape vs John Mnyika.

Nazjaz

JF-Expert Member
Jan 20, 2011
7,684
8,833
Hawa vijana machachari wenye upeo wa juu wa fikra na ukombozi wote nio wakazi wa jimbo la uchaguzi la Ubungo.
Hivi kati yao nani anafaa zaidi kuwa mbunge wa jimbo hilo 2015?
 
yule aliyechaguliwa ndo anafaa! nape alifaa kuwa mkuu wa wilaya na sasa anafaa kuwa katibu mwenezi wa ccm
 
acha kuuliza vitu ambavyo vipo obvious..kama nape alipigwa chini kwenye mchakato wa kumpata mgombea wa ccm na kushika nafasi ya 3,inaonyesha jinsi gani hakubaliki kwa uwezo wake duni,wakati mnyika akishinda kwa kimbunga..nadhani nape ashukuru hakufikia hatua ya kuwa mgombea wa ccm,kwasababu ingekuwa embarassment ya nguvu..
 
naona kama ccm wangemsimamisha nape jimbo la ubungo mwaka jana, pangechimbika, ushindani ungekuwa mkubwa sana. kwangu mimi naona kama wote wanafaa ila kwa sasa nape ataharibiwa pale lumumba sasa
 
kwa jinsi mnyika anvyofanya kazi na kama atendelea hivyo hivyo, 2015 wala hahitaji kupiga kampeni hata akigombea na JK
 
Tatizo chama cha ****** na nape hakiaminiki tena mbele ya jamii. Otherwise wangechuana vikali.
 
kuuliza 1+1 unapata ngapi kwa mtu mzima kama wewe ni ujinga

still 1+1 ni swali gumu, kkuna watakao jibu 1, wengine 2, wengine 11 ili mradi tu kukuthibishia kua wio swali rahisi.
 
Uwezo wa Mnyika unajionesha wazi akitumikia chama hadi wanaubungo so that utendaji wake umetukuka zaid ya Nape.......labda ahame kwa mafisad ndo apimane na Mnyika
 
Uwezo wa Mnyika unajionesha wazi akitumikia chama hadi wanaubungo so that utendaji wake umetukuka zaid ya Nape.......labda ahame kwa mafisad ndo apimane na Mnyika
 
Hawa vijana machachari wenye upeo wa juu wa fikra na ukombozi wote nio wakazi wa jimbo la uchaguzi la Ubungo.
Hivi kati yao nani anafaa zaidi kuwa mbunge wa jimbo hilo 2015?

Weka cv zao pia na wamefanya nini ili wengine tuandike majibu as hatuwajui
 
Uwezo wa Mnyika unajionesha wazi akitumikia chama hadi wanaubungo so that utendaji wake umetukuka zaid ya Nape.......labda ahame kwa mafisad ndo apimane na Mnyika
 
Back
Top Bottom