Nape vs John Mnyika.

kwa jinsi mnyika anvyofanya kazi na kama atendelea hivyo hivyo, 2015 wala hahitaji kupiga kampeni hata akigombea na JK

kazi gani aliyofanya mnyika mpaka sasa? aaah kweli nilimuona kwenye maandamano kanda ya ziwa akiwakimbia wananchi walio mpa kura huku wakibomolewa na kupewa vitisho, eti yeye akawa anaongelea kwenye bomba.nadhani hiyo ni kazi yake ambayo amesha tuonesha wana ubungo
 
kwa tafiti zangu, that is inside job ya kurudisha jimbo,na kiboko ya mdee inakuja
 
Nape kichuguu na Mnyika ni mlima kilimanjaro kwa hiyo uwezi ukawalinganisha kamwe
 
Uwezo wa Mnyika unajionesha wazi akitumikia chama hadi wanaubungo so that utendaji wake umetukuka zaid ya Nape.......labda ahame kwa mafisad ndo apimane na Mnyika
 
Back
Top Bottom