Nape unajidanganya mwenyewe umaarufu unakusumbua

andrews

JF-Expert Member
Mar 28, 2012
1,679
152
10.+Nape+akiwasili+mbeya.jpg
 
Umaarufu haumsumbui, umesahau kuwa ''politics is all about popularity''..?
 
waache wafu wazikane wenyewe, Nape may be huna taarifa, CCJ imepata usajili wa kudumu, vipi utarudi kwenye chama chako ulicho kiasisi?
 
dah Hao vijana wamenikumbusha mbali enzi hizo nikiwa chipukizi wa CCM ya ukweli from 1990 to 1998 then nkawa green guard Kabla CCM Arusha haijaingiwa na majungu hadi tukajitoa
 
Back
Top Bottom