Nape umewafanya nini wamama wetu?

walipewa elfu kumi kumi wakaambiwa walie ,sijawahi kuona ilani yakisiasa ikiwabaraguza watu haaaa PEPO LA GAMBA LILIWAINGIA HAWA HAMNA HATA WATU MKUTANONI WANAHUTUBIA MAPAMBO YAO HAHAHH

elfu kumi yote hiyo!!!!!! hao wamekandamizwa ubwabwa nyama kwisha kazi
 
Kina mama wakigalagala chini baada ya kuingiwa na maneno ya Nape songea

wazee3.jpg
wamehongwa vitenge na matisheti hao...yaani hii rangi ya kijani na njano siipendi kupindukia, hata nguo za aina hiyo sivai naona kama nimekuwa mwanasisiemu vile....tutaonana mwaka 2015
 
wana galagala wanadhani ni wengine kumbe ni walewale nani kasema hawa jamaa hawana maneno mazuri

mfano ahadi zao via kampeni walisikia wapi hazijuwa nzuri jamaa hawa tatizo lao ni matendo
 
Kina mama wakigalagala chini baada ya kuingiwa na maneno ya Nape songea

wazee3.jpg
Hiyo ndio style ya akina mama wa kingoni wanapocheza ngoma huwa wanajigaragaza chini, lakini hapa wanasherehekea kupewa nguo mpyaa za kuendea kwenye kilimo.
 
kuna wamama hata waew na 80 years, bila kulala chali mbele ya mwanaume hawasikii ukamilifu
 
Back
Top Bottom