Nape si mwanachama wa CCM

hafai huyo jamaa hana kadi ya CCM ni mtu wa kudandia MWANA CCM MWEZAKE MKINGA nafikili wote mnamfahamu alishasema kuwa nape ni mtu wa kudandia hata marehem ...... si baba yake

Mhhhhh, hii niliisikia kwa Mkinga inawezekana ikawa sababu ya kuwa kama alivyo enh!!!!!
 
Hahahaaaaaah!!!!! Chandimu nimewashika pabaya sanaaaa. Nilikuwa sijacheka siku nzima, sasa mpaka mbavu zinaumaaa......aaaaaah!hakika huku ni kutapatapa kwa hali ya juu sana......

Ndiyo maana anawaita CDM watani wako, hapa hujatoa jibu na ushahidi kama upo. Vitu serious unachekacheka kama Mkuu wa Kaya-ninyi vipi?
 
Dah mnajua wana jf mna nichanganya,sasa kama ndo iko hivi huyu mjamaa anapata wapi ujasiri wa kupuliza vuvuzela hovyo tena mbele ya wakubwa na bila kujali kelele zinazotolewa na hilo livuvuzela.Aluuu mi naenda nje kwanza nipunge upepo.Labda kashindwa bei au gharama ya kununua kadi,kwanni nyinyi m mnauzaje kadi zenu?Punguzeni bei bwana.:israel:
 
Eti ndo kichwa kilichotaka kupambana na Mnyika Ubungo 2010! Bora mara 1000 m mama alieshindwa uchaguzi kwa kura na mahakamani... kuliko this trash
 
Nape mpaka sasa hujajibu wala kuscan kadi yako,
na kuiweka hapa zaidi ya jana ulivyokuja na kujichekesha kama WM,
Wewe ni mnafiki unawahadaa wana CCM na kula hela za bule wakati si mwanachama unatakiwa ujivue gamba.
 
Hahahaaaaaah!!!!! Chandimu nimewashika pabaya sanaaaa. Nilikuwa sijacheka siku nzima, sasa mpaka mbavu zinaumaaa......aaaaaah!hakika huku ni kutapatapa kwa hali ya juu sana......
Kaka watu wanataka kuona scanned copy ya kadi yako ya uanachama!
 
JF acheni kupoteza muda wa watu na porojo. Itakuwaje apite chujio la uteuzi za mamlaka kuu katika chama - mwenyekiti, cc na mpaka nec ya ccm? tuache kudanganyana.

Aweke jamvini kadi yake na aliipatia tawi gani na form alizojaza, vinginevyo tutaendelea kuona CCM kama chama cha wachakachuaji. Sintosahau siku Kabourou Walid mbunge wa CDM (baadae magamba walimchakachulia kwao) alipomshika pabaya Premji juu ya uraia halafu CCM wakaona ana hoja na mahakama ikasema hana uraia halafu akapanda ndege kwenye uwanja wa kokoto wa ndege Kigoma akaja Dar na keshokutwa yake akarudi na cheti cha uraia... Nape fuata mfano wao utakuwa salama.
 
Kaka watu wanataka kuona scanned copy ya kadi yako ya uanachama!

Kuna dalili tosha tuhuma zina ukweli, kwani Nape alivyomwepesi kujenga utetezi nashangaa hili anashindwa kujitetea kwa kuleta vithibitisho hivyo. Kwa hiyo tukuelewe Nape ni tapeli.
 
Hahahaaaaaah!!!!! Chandimu nimewashika pabaya sanaaaa. Nilikuwa sijacheka siku nzima, sasa mpaka mbavu zinaumaaa......aaaaaah!hakika huku ni kutapatapa kwa hali ya juu sana......

Haya Nape. Msalimie Mh. Maige. Nakumbuka kuna kipindi wanachama wa CCM ambao walikuwa hawajalipia ada ilitakiwa wanyang'anywe kadi (wakati wa chama kimoja). Ikagundulika kwamba Viongozi wengi walikuwa wafu na ilitakiwa wafukuzwe uanachama. Hoja haikuendelea kujadiliwa ila walipeana muda wa kulipa ada.

Nape si busara kupuuza hoja hizi. Jichunguzeni. Heri rafiki akuambiaye ukweli, hata kama kwa kufanya hivyo anakuudhi, kuliko rafiki anayekusifu kuwa umevaa vizuri wakati unatembea uchu.
 
Hivi imagine william na nape wamekaa pamoja wanapiga story.......aiseeeee.....

btw.....nape kadi vipi arifu?
 
ndio mana juzi nikaandika makala ya kua nape ni kiongozi shujaa kwani vijana mnakurupuk. kimsingi huwwezi kugombea nafasi yoyote katika cham bila ya kujaza fomu ambamo ndani yake humo lazima mtatakiwa taarifa za uanachama na kulipia GRR. jee nape hajawahi kugombea na kuchukua fomu jee yeye hajui umuhimu wa kadi na uanachama. hongera sana kiongozi shujaa nape kwa kweli umewashika pabaya. na nakuomba usisjibu lolote katika hilo wala usiscan kadi yako na kuileta JFlabda wana agenda ya sisi. ni hatari kudili watu wanaotumiliwa ila nape kwa hekima zako umewajuulia. endelea kucheka mzee.
 
Nimefatilia hii thread baada ya jibu la nape nikitegemea kwamba angejibu kitu cha maana sasa nimepata kilaza mwingine after le baharia,ccm kwisha kazi kama wenye chama ndio nyie kwisha habari yenu
 
Nimefatilia hii thread baada ya jibu la nape nikitegemea kwamba angejibu kitu cha maana sasa nimepata kilaza mwingine after le baharia,ccm kwisha kazi kama wenye chama ndio nyie kwisha habari yenu

Hakuna Mwenye akili ndani ya CCM, labda ritz...kwa mbaaaaaaaaaaaaaaaali.
 
Last edited by a moderator:
Ni kweli umewashika pabaya sana! You have managed to sail all the way from the BOTTOM to the TOP position without being NOTICED. Hakika wewe ni MSHINDI. Kuwa manachama bila ku-appear kwenye register book yoyote!!! RIDICULOUS. Na kama weni wa nama yake, Basi HAKUNA CHAMA HAPO KABISA!!!!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom