Nape, Rejao na Ritz mnayakumbuka haya?

TUMBIRI

JF-Expert Member
May 7, 2011
1,933
1,199
Nape, Rejao na Ritz. Nimerejea hizi Propaganda zenu nimebaki kucheka tu. Poleni sana wakuu

Nimetembea kuanzia KIA, Kikatiti, Maji ya Chai na Usariver! kote huku hawataki kabisa kuiskia CDM!


wewe baki tu kwenye Keyboard yako dar es slaam ukipiga kelele kuwa CDM inashinda,
Wenzako tulio field tunafahamu what is real happening. Viongozi wa CDM hii wiki yote wameingiwa na hofu kubwa sana!!


Timu ya ushindi hii hapa.
View attachment 50525




Tehe teh teh na mbuzi na ng'ombe wa kusherehekea usindi wa Sioi hiyo tarehe 1 tumepewa!!


Tarehe 2 April 2012 ni siku ya malalamiko ya kuibiwa kura kitaifa yatafanyika humu Jamvini.

Wote hawa wasindikizaji!
Ushindi upo CCM!

Ni mambo ya kujipanga tu. Arumeru hatuhitaji kutumia nguvu kubwa cuz tunakubalika!
Vipi, mmeshasolve matatizo ya kifedha yanayowakumba?

Masikini we! Yaani pamoja na kubeba watu Moshi, Hai, Arusha nk bado ndo mkutano umedoda hivi? Umezidiwa hata na mkutano wa uzinduzi wa kampeni za kata Mwanza, Aibu!!! Subirini mafuriko Jtatu ndo mtajua CCM mziki mkubwa!
 
Nape, Rejao na Ritz. Nimerejea hizi Propaganda zenu nimebaki kucheka tu. Poleni sana wakuu


Hawa watu kwa ubishi duh! Leo chadema imewafunga midomo yao Arumeru mashariki, taarifa zimeenea Tanzania kote kote kilichobakni kuwaangamiza!
 
Back
Top Bottom