CHASHA FARMING
JF-Expert Member
- Jun 4, 2011
- 7,789
- 8,915
"Wananchi wanahitaji watendaji wanaofanya kazi, ukikosa kuwajibika kwa wananchi watawajibisha" Mwisho wa kunukuu
Nape ameyasema hayo baada ya diwani Mwingine Mwanza kukihama chama cha mapindizi
Akiongea kwa kujiamini amesema CCM ni IMARA haitetereki na ITADUMU milele kama wewe ni mwanaCCM na unaongoza wananchi ukakosa uhadirifu watakuwajibisha ndo maana madiwani wa ARUSHA mwanza wanahama. Wangebaki CCM Rungu al chama lingewashukia
Source:Wapo
If so mkuru ndo wa kwanza anatakiwa kuwajibiswa, Tatizo la Nape anaongeaga vitu kamMlevi vile, Mkuu wake ndo analalamikiwa hata wabunge wa ccm wanamlaumu yeye, sasa kama Nape ana Ubavu akamwambie mkuu wake na si kuwa onea madiwani kwamba si wa tendaji,
Ina maana waliobakia wote ndo watendaji? Kesho wakijiuzuru wengine nao wanaingia kwenye orodha ya kuwa si watendaji?