Nape Nnauye CCM, take CARE MY BRO

sasa kama huu ndio uelekeo wenyewe unadhani kwanini katibu mwenezi aendelee kuwepo kwenye kundi hili si bora ajiuzulu ili jamii watambue kuwa ni mtu mwenye msimamo

daima namtambua sana Mnauye jr. toka katika mapambano yake ndani ya UVCCM na nadhani ni mwanasiasa ambaye angekuja kuwa mwanasiasa makini mbeleni lakini mfumo wa CCM ndio auwezi kumruhusu kuwa hivyo na mtandao umejaribu kumweka karibu na kujifanya unamtetea kipindi alichotishiwa kufukuzwa ndani ya CCM na baada ya hapo wanamtumia kama kinga dhidi ya kushambuliwa moja kwa moja na kundi lililokataa kuendelea kuwa chini ya mtandao

Mnauye jr. mwenendo wako wa siasa unaokwenda nao si sahihi haiwezekani wewe uwe katibu mwenezi na mjumbe wa CC ndani ya chama lakini waweze kukuweka kwenye chupa

CCM is not a political party, its a mode of production. Wanaotaka kujipatia vinono wanakutumia Nape. Wamekutuma ukawatukane wakubwa zao na wanajua wakubwa hao watakumaliza vibaya. Bwana Nape umebaki kuwa utopian thinker. Umepandikizwa hisia za wazee wa enzi za tanu. Ukiwa jukwaani unamwaga sera usoni mwako unaonekana unafuraha ila moyo wako unalia machozi ya damu kwa kuona waliohudhuria kukusikiliza ni watoto wa shule za msingi na sii wpiga kura.

Kumpa ushauri Nape ni sawa na kumpigia mbuzi gitaa. Kwetu kuna usemi kwamba kenge akipigwa hadi damu zitoke masikioni ndiyo anasikia. Unapoteza wakati wako bureeeeeeeeeeee

Mi naona ni ushauri mzuri, take it acha kimbelembele, utapotezwa wewe
we tell you the truth because we love you.

Ushauri..
Nawashauri ili tutendee haki heshima zenu SIKU MIMI NA CHILIGATI TUKISHAENDA IGUNGA MJE HAPA KUOMBA RADHI KWA UONGO MNAOJARIBU KUUZUSHA HAPA...
HIVI KAMA JAMBO HUNA UHAKIKA NALO KWANINI ULISEME KAMA VILE UNA UHAKIKA NALO?...kula weka akiba..

Wanaodai Nape naganga njaa. NJAA IPI?????!!!! SHAME ON YOU... OR NAPE ANATUMIWA NA WAZEE...jamani hata historia haiwapi kujifunza Nape ni wa aina gani mpaka atumiwe? SI BUSARA KWA MTU MZIMA KUDANGANYA WATU WAZIMA NA AKILI ZAO,,, HAYA NI MATUSI KWAOOO

Dhana ya kuganga njaa inajitokeza pale ambapo kile unachokiamini na kukihubiri hakitekelezwi/hakitekelezeki katika chama chako lakini bado unang'ang'ana na mahubiri hayo hayo kila siku badala ya kujiuzuru/kujitoa. Kutokana na hilo unaonekana upo hapo kwa ajili just because unapata chakula na sio kuwa unadeliver. huko ndo twaita kugaganjaa, si unaona jinsi unavyoshiba bila kudeliver???na wala huoni kama hilo ni tatizo.think twice bro, ccm inawenyewe, wewe huiwezi. mwenyekiti mwenyewe haiwezi utaiweza wewe?????

Wenyewe kina nani? Ninachohubiri kisichotekelezeka ni kipi? Hivi ni kweli leo mtu anaweza kusimama hadharani bila aibu akasema hakitekelezeki???? Nilipoanza mlisema, matokeo yalipoanza kupatikana mnasema halitekelezeki..... Kwakweli wengi wenu kwakuwa ni vijana nashangaa nchi hii itakuaje baada ya mda mfupi kama hili ndo Taifa lenye hiki kizazi

Ushauri..
Nawashauri ili tutendee haki heshima zenu SIKU MIMI NA CHILIGATI TUKISHAENDA IGUNGA MJE HAPA KUOMBA RADHI KWA UONGO MNAOJARIBU KUUZUSHA HAPA...
HIVI KAMA JAMBO HUNA UHAKIKA NALO KWANINI ULISEME KAMA VILE UNA UHAKIKA NALO?...kula weka akiba..

Wanaodai Nape naganga njaa. NJAA IPI?????!!!! SHAME ON YOU... OR NAPE ANATUMIWA NA WAZEE...jamani hata historia haiwapi kujifunza Nape ni wa aina gani mpaka atumiwe? SI BUSARA KWA MTU MZIMA KUDANGANYA WATU WAZIMA NA AKILI ZAO,,, HAYA NI MATUSI KWAOOO

286002_192744814118767_187249878001594_524359_2867843_o.jpg kitu kama hii

unachokiongea Nape sinauhakika kama unacho uhakika pengine unahadaa jukwaa la wana jamii usitufanye humu ndani ya jamvi hatuna akili jaribu kuja napoint zenye misingi za maana huwezi tuletea pumba zako kawahadae wa ccm wala sio sisi

Usisahau .....THE STRONGEST MAN INTHE WORLD IS THE ONE WHO STANDS ALONE"

Hii misemo inabidi kuiangalia kwa undani saaana na kwa utafakari pia.... Kwa maana hio ...

HE WHO STANDS ALONE DOES NOT CARE ABOUT THE LIKES OF OTHERS FOR THEY ARE INSIGNIFICANT TO HIM....

Just thinking out loud...

Wenyewe kina nani? Ninachohubiri kisichotekelezeka ni kipi? Hivi ni kweli leo mtu anaweza kusimama hadharani bila aibu akasema hakitekelezeki???? Nilipoanza mlisema, matokeo yalipoanza kupatikana mnasema halitekelezeki..... Kwakweli wengi wenu kwakuwa ni vijana nashangaa nchi hii itakuaje baada ya mda mfupi kama hili ndo Taifa lenye hiki kizazi
Katika mtu mwenye upeo mdogo sana basi ni wewe,sijui umesoma wapi,nimekuwa nikifatilia sana habari zako lakini inaonekana ni mtu wa kufagilia chama,una ganga njaa tu,wewe huwezi kuwa kiongozi,hata nyerere alisema kuwa watu ambao hawafai kuwa viongozi tutakula nao tutacheka nao lakini hutopewa uwongozi,na ndio mana unadunda katika jimbo lako,utabakia hivyo hivyo kibaraka cha wazee.

Wewe unatumiwa kama kijana ambaye shupavu wa kurusha madongo na kushindana na watu wazima kama Dr Silaa,lakini ninacho kuwambia bado wewe kijana mdogo usiwe na papara,hao viongozi wanaokutuma ukawa unawakashifu viongozi kama Dr Silaa watakuumiza,cha msingi kuwa mwanasiasa msomi,sio unaongea sana,hauna hoja katika kujadili kitu unapayuka payuka ovyo,na hapo ndipo unapotoka hadhi.

Sio kama tunaku kandia kwa sababu za kisiasa pengine ukafikiri ni kutoka chama gani,nakueleza kama raia wa kawaida au mwananchi,unahitaji ujichune ngozi kwa kujivua gamba haitoshi.

Hahaha kuna siku mzee ulinichekesha sana siku ulio hojiwa na redio ya ujeruamni ya kiswahili,uliulizwa suala la muungano,ukawa unaleta hoja za kitoto,eti zanzibar tunawapatia umeme na ndio faida ya muungano hahaha,hivi nikuulize ule umeme munatupa bure ?

Yaani wewe unapayuka payuka ovyoo,hijui hata history ya nchi yako,hebu tafuta ma book usome.

Nape utapotezwa tu. Ona sasa hivi walivyokuharibi sifa yako sasa na wewe unaonekana ni GAMBA. Kimbia bado mapema, CCM wameshaiua sasa wakupe mikosi wewe waachie lichama lao kama unasoma majira ya nyakati. Lakini kama umepigwa upofu mda si mrefu utakosa pa kujificha. Waachie wakimalizie wao walicho kiharibu kwa usalama SEPA.

Kiukweli kijana hauendani na kasi ya Mafisadi wa Chama chenu its better ukae pembeni kuliko kuendelea kujiharibia hasa machoni mwa vijana wengi ambao ndio wapiga kura 2015 kwa hyo mtizamo wako wewe wa kua ndani ya mfumo wa CCM ni wazi kua unazidi kupotea machoni mwa vijana wengi na mfani tizama comments za hawa vijana wanasemaje juu yako kaka? Kazi kwako

Wenyewe kina nani? Ninachohubiri kisichotekelezeka ni kipi? Hivi ni kweli leo mtu anaweza kusimama hadharani bila aibu akasema hakitekelezeki???? Nilipoanza mlisema, matokeo yalipoanza kupatikana mnasema halitekelezeki..... Kwakweli wengi wenu kwakuwa ni vijana nashangaa nchi hii itakuaje baada ya mda mfupi kama hili ndo Taifa lenye hiki kizazi

wewe nape umedeliver nini chakujidaia hapa.labda kuigawa ccm makundi makundi.hamna lolote yani chama ndio kinazidi kupoteza dira coz unabrag mpaka unabore.

Napenda kuchukua nafasi hii kukushauri ewe katibu uenezi wa Chama Cha Mapinduzi, najua upo katika harakati za kutekeleza azma ya mapinduzi katika chama kama kinavyo julikana.

Ushindi kiduchu wa asilimia 61 wa uprezidaa mlioupata umeporomoka toka ule wa mwaka 2005 wa asilimia 100,sasa hapo inaonyesha kuna madudu mengi CC imeyafanya na wa Tz wamegutuka na kusepa, kama mmeweza kupoteza asilimia zaidi ya ishirini, kwa hesabu za kawaida tu, mwaka 2015 mkipoteza tena zingine 20, mtapata asilimia 40 au chini ya hapo na ndo itakuwa mwisho wa CCM, sasa bro najua unatumia nguvu kubwa sana kusafisha chama na kuwakomalia vinara wa ufisadi waachie ngazi.

Baba huo moto huuwezi, hiyo vita itakupeleka pabaya,watakumaliza. Uko mmoja wako zaidi ya Mia moja, kama vipi sepa Chama no usalama wako, other wise watakupoteza... Ushauri wa bure,ni mimi mwana CCJ, mi nimesha sepa.[Hapo uko sahihi kabisa maana yeye anatangulizwa mbele kama mgambo wakati wa vita

Usisahau .....THE STRONGEST MAN INTHE WORLD IS THE ONE WHO STANDS ALONE"

Watakukolimba na vimisemo vya kizamani wakati wa kupigania uhuru, kijana katika dunia hii ya sasa, umejiandaa andaaje kuwafuata akina Nyerere huko waliko? Kama unafikiri Nyerere alikufa kifo cha asili-pole sana!

Wenyewe kina nani? Ninachohubiri kisichotekelezeka ni kipi? Hivi ni kweli leo mtu anaweza kusimama hadharani bila aibu akasema hakitekelezeki???? Nilipoanza mlisema, matokeo yalipoanza kupatikana mnasema halitekelezeki..... Kwakweli wengi wenu kwakuwa ni vijana nashangaa nchi hii itakuaje baada ya mda mfupi kama hili ndo Taifa lenye hiki kizazi

Ulisema siku 90, leo ngapi kwa wote ulio wataja? Tumeona RA kasusa tu, wengive vipi?:twitch:

Sasa huyu Msekwa ni nani atakayemuita kwenye vikao vya kumuonya? Maana yeye ndo alikuwa akiwaonya mapacha watatu. Kweli CCM hakuna msafi. Kila mtu ni fisadi kulingana na nafasi yake.

Thats where comes kwamba serikali ya CCM ni ya kuishuku kila katika maamuzi yake. Haijawahi kuwa serious katika mambo hasa yale ya msingi. Big mwenyewe ndani ya nyumba sasa. mapacha watatu alikuwa anawabana kwamba ni mafisadi what about him now?

Back
Top Bottom