Nape: Marando futa kauli kuwa CCM tuna mashine ya kutunga SMS za kihuni...

only83

JF-Expert Member
Oct 15, 2010
5,343
2,525
........Nape amemtaka Marando afute kauli au adhibitishe kauli yake. Nae Mwigulu kaonyesha kimemo alichoandikiwa na kamanda Mbowe na kusema kuwa kilikuwa na lugha kali sana, na amesema kuna siku kamanda Mbowe alienda akampiga biti live akiwa na Chiligati.

Source : ITV
 
Kimsingi Mwigulu anakera na havumiliki kwa kusema uongo tena wa maisha binafsi ya mtu, havumiliki kabisa, ni mzushi na ana maombo ya kitoto sana
 
mbona hii wamejibu haraka baada ya dili lao kushitukiwa. Marando huwa hakurupuki hata siku moja..........nape mpeleke mahakamani marando akakupe ushahidi...........
 
Kimsingi Mwigulu anakera na havumiliki kwa kusema uongo tena wa maisha binafsi ya mtu, havumiliki kabisa, ni mzushi na ana maombo ya kitoto sana

Si mambo ya kitoto, ana mambo ya kijinga.
 
Hivi punde MWIGULU NCHEMBA na katibu mwenezi wa magamba, Nape Nnauye wamekanusha tuhuma nzito zilizotolewa juu ya mtoto wa kigogo mmoja wa CCM kuingiza mtambo wa kutengenezea messages hapa nchini. Mimi nasema kuwa, Kama kweli tuhuma hizo ni uongo na uzushi basi waende mahakani. Vinginevyo umma unaamini kuwa hutuma hizo ni kweli tupu.
 
mbona hii wamejibu haraka baada ya dili lao kushitukiwa. Marando huwa hakurupuki hata siku moja..........nape mpeleke mahakamani marando akakupe ushahidi...........

ccm wanaipata wapi jeuri ya kumpeleka mahakamani Mabere Marando?
Katika hili wataishia kuzunguka mbuyu kwakuwa wanajua Marando habahatishi!
 
angekuwa na hakika na anayosema angelienda mbali zaidi kutaja hatua watakazochukua kama marando hatatekeleza walichosema.lakini kwasababu ni wababaishaji wameishia kunmtaka marando afute kauli bila kutaja hatua kama atakaidi.this is the best a dead body can do.
 
hakuna kauli sisi software engineers tunajua how its be done labda iwe zimetumwa kweli nipo tayari kutuma software link humu ambayo can verify kama was sent via victim cell phone provider au laaaa, can also be used kama ushahidi

mwaga mkuu ndiyo raha ya JF
 
wangetumia tu busara ya kunyamaza yaishe maana washalikoroga vya kutosha..............kiwango cha jeuri na rabsha anazoleta Mwigulu sijui uwa anafikiriaga consequences zake au anafanya kwakuwa anaweza.............2015 si mbali ujue.........tic toc.........tic toc
 
Back
Top Bottom