RaiaMbishi
JF-Expert Member
- Jan 18, 2012
- 252
- 125
Utawala wa awamu ya nne kama tunavyouona, hauna kauli moja na ya kushikamana, enzi hizo zilishapita, sio baina ya mawaziri, sio baina ya wabunge, na sio baina ya viongozi wa ccm. Sasahivi ni opportunistic politics na za kutegeana, ili mradi kila mmoja ajilinde na hisia sivyo mbele ya umma. Kwa mfano, ni katika nchi gani imewahi tokea hali ya mawaziri kupigana vijembe hadharani kuusu utendaji wa serikali hiyo hiyo, mfano Sitta na Nahodha, na mifano mingine mingi tu.