NAPE: Hatutaruhusu vurugu wakati wa kampeni za Kalenga

Sasa tatizo ni nini? CCM wamesema hawatakuwa wanyonge tena wakichokozwa watajibu sasa kama CDM wana busara ni bora wasianzishe vurugu. Nawaomba wote wafanye siasa za kistaarabu. Pia nawasihi vijana hangaikeni kuboresha maisha yenu wanasiasa hawatainua maisha yenu binafsi ila nyinyi wenyewe ndio mmeshikilia mustakabali wa future zenu.

Na kwa nini CHADEMA pekee ndiyo wanaweweseka? the president's statement was too general, Jk mentioned no political party in particular. WHY reactions from CHADEMA only? Kuna haja ya kutafakari sana.
 
Na kamwe hutaliona iwapo umevurugwa

Yes nimeshuhudia vurugu nyingi za CHADEMA, matamko mengi sana ya hatari kutoka kwa viongozi wa CDM, lazima nivurugwe kusikia kuwa wanaweweseka kutokana na kauli ya viongozi wa CCM kuwatuhumu.
 
Siku zote huwa naona mwisho wa amani yetu utakavyoletwa na CCM kwa uroho wa madaraka.
 
NAPE ni mwiba wenu na mapaka 2015
Mwiba ni vichakani,mjini si mahali pake.

Unaonesha jinsi gani ulivyo mtupu katika kushabikia hata ujunga unaosimamia.

Kwani nimekwambia mimi si mtanzania?Ufikiri wako mdogo sana kama huyo umteteaye.
 
Hii ni hatari, na inashangaza vyombo vya dola havijachukua hatua dhidi ya Nape ama dhidi ya Madai ya Nape,

Jioneeni Video hii ya tangazo la mauaji ya halaiki huko Kalenga,


we jamaa sio bure yaani unachotaka we ukimdhuru mwenzio akuache sio !
Tumia akili basi wakati mwingine unaweza kuwa na suala la msingi polisi wakakupuuza kwa kureport upuuzi kama huu.
 
Last edited by a moderator:
Wakuu bila ushabiki wa kisiasa bali kwa maslahi ya nchi yetu, ina maana wachangiaji hamjaona ubaya wa anachokisema katibu wa itikadi na uenezi NNdg Nape? CCM ndio chama dola, CCM ndio wenye serikali na vyombo vyote vya ulinzi na usalama vinawasikiliza CCM, Kama ni kweli MH Kasulumbayi MB kawaongoza vijana kwenda kumshambulia kada wa CCM na bisibisi kwanini asikamatwe na sheria ichukue mkondo wake?, kwa busara ya kawaida hivi kulipa kisasi kwa mapigano ni uzalendo na kulinda amani ya nchi yetu?. Chondechonde CCM propaganda za namna hii zitatuharibia nchi tafadhali Nape na JK kuweni na huruma na roho za watanzania hawa. By Kinyengeli nikiwa bado Kalenga.
 
Na kwa nini CHADEMA pekee ndiyo wanaweweseka? the president's statement was too general, Jk mentioned no political party in particular. WHY reactions from CHADEMA only? Kuna haja ya kutafakari sana.

utumbo huu umeweka hapa....please ondoka nao sikuelewi mwana njaa wewe.....tumbo linakutesa....ukitaka kuheshimiwa duniani weka mgogoro na tumbo lako.....
 
Back
Top Bottom