Nape: CHADEMA iwajibike matukio ya mauaji

Nina wasiwasi mkubwa na chadema hawa jamaa inaelekea wameweka tamaa ya madaraka mbele na ni watu wachochezi sana.ni kama kagenge fulani hivi ka wahuni
 
Kweli nyani haoni kundule. Yahani CCM wameshindwa kuwajibika kwanza wenyewe kwenye ufisadi uliotupeleka masikini mpaka leo halafu anasema CDM iwajibike? Ni wangapi wamekufa kukosa huduma hospitali, njaa? Ni wangapi wameachwa na umasikini wa kupingukia ndani ya aridhi yao? Nani anawajibika hapo? Ndugu nape akatujibu kwanza maswali haya. Kama akina Nape wataendelea kuwa Viongozi wa CCM basi kuna hatari kubwa sana. Hii inafanya niwakumbuke sana kina Mangula. Yahani huyu nape ni hovyo kweli ndani ya CCM na ndo anatuharibia chama chetu lol

pole kwa kuwa Gamba. Username yako kama magari ya bi Kiroboto
 
Kama ni kweli unaamini ulichosema, Kwanini Police wasingemuua Dr.Slaa? Kwanini walimuua Mwandishi wa Habari? Sasa Dr.Slaa hawajibike kwa lipi?
Je ni Dr.Slaa aliye wachochea Bashe na Dr.K kutishiana kwa mitutu ya bunduki ndani ya ofisi ya CCM wilaya?
Je ni Dr. Slaa aliyesema Dr. Mwakyembe kawekewa sumu na wanachama wenzake wa ccm?
Je ni Dr. Slaa aliyechochea Waislam leo Dar kuandamana kudai madai waliyotoa?
Mtasema kila kitu, mtatumia kila kitu, mwisho wa siku HAKI ITAIBUKA MSHINDI
 
Jimy P, Ushatupia ka posti kako nadhani saahizi upo dirishani pale lumumba unakinga kaposho ka siku..., ilimradi watoto wameenda msalani
 
Imefika wakati viongozi wa Chadema wawajibike kwa vifo vinavyotokea katika maandamano yao kwa sababu wao ndio wanasababisha na wanakuwa wanafahamu kuwa mtu atafariki, Kifo cha Mwangosi Iringa kabla tukio halijatokea Mwandishi Francis Godwin alimuuliza Dr Slaa kwamba kwa nini wanaenda kufanya Mkutano wakati wamezuiliwa kufanya Mkutano Dr slaa alieleza Liwalo na Liwale na yuko tayari kupoteza Maisha ya Mtanzania yeyote ili kuimarisha Chama.
Hivi kwa nn Dr Slaa asiuzulu pamoja na Mwenyeki kama kweli wana nia ya dhati na Watanzania?
Kwa maneno aliyoyatoa ilikuwa ni lazima nguvu itumike kwa Sababu CDM Wakivunja Sheria wasiposhughulikiwa wanasema Serikali ya CCM dhaifu Sasa ili isiwe dhaifu lazima kila mmoja aheshimu sheria na anayevunja achukuliwe Hatua na ninamweleza IGP Na RPC Lazima muuendelee kulinda sheria kila mmoja aheshimu anayebisha ashughulikiwe...

Halafu Dr Alikuwepo Nyololo mbona alipoanzisha fujo tu hatukujua kaelekea wapi au ni Mkakati wa Chadema kuua watanzania wameagizwa na Wafadhili wao?

Kweli nimeamin kikao cha Chadema hakina Tofauti na kikao cha ukoo...Kikao cha Ukoo kinaweza kubadilika kuwa Kikao cha Chama

Akili za kushikiwa hizi Dr Slaa wajibishwe na Mapolisi CCM waongezewe vyeo! Ila waliondamana leo wao ni wafuasi wa SHARIA
 
Imefika wakati viongozi wa Chadema wawajibike kwa vifo vinavyotokea katika maandamano yao kwa sababu wao ndio wanasababisha na wanakuwa wanafahamu kuwa mtu atafariki, Kifo cha Mwangosi Iringa kabla tukio halijatokea Mwandishi Francis Godwin alimuuliza Dr Slaa kwamba kwa nini wanaenda kufanya Mkutano wakati wamezuiliwa kufanya Mkutano Dr slaa alieleza Liwalo na Liwale na yuko tayari kupoteza Maisha ya Mtanzania yeyote ili kuimarisha Chama.
Hivi kwa nn Dr Slaa asiuzulu pamoja na Mwenyeki kama kweli wana nia ya dhati na Watanzania?
Kwa maneno aliyoyatoa ilikuwa ni lazima nguvu itumike kwa Sababu CDM Wakivunja Sheria wasiposhughulikiwa wanasema Serikali ya CCM dhaifu Sasa ili isiwe dhaifu lazima kila mmoja aheshimu sheria na anayevunja achukuliwe Hatua na ninamweleza IGP Na RPC Lazima muuendelee kulinda sheria kila mmoja aheshimu anayebisha ashughulikiwe...

Halafu Dr Alikuwepo Nyololo mbona alipoanzisha fujo tu hatukujua kaelekea wapi au ni Mkakati wa Chadema kuua watanzania wameagizwa na Wafadhili wao?

Kweli nimeamin kikao cha Chadema hakina Tofauti na kikao cha ukoo...Kikao cha Ukoo kinaweza kubadilika kuwa Kikao cha Chama
Jana kuna thread zilichangia kwa kusema mwandishi FRANCIC GODWIN ni Gamba sasa nimeamini umeamua kuanza kuishambulia CDM ili urudishe imani kwa Magamba wenzio hata ufanyeje ukweli hauwezi fichika.
 
Imefika wakati viongozi wa Chadema wawajibike kwa vifo vinavyotokea katika maandamano yao kwa sababu wao ndio wanasababisha na wanakuwa wanafahamu kuwa mtu atafariki, Kifo cha Mwangosi Iringa kabla tukio halijatokea Mwandishi Francis Godwin alimuuliza Dr Slaa kwamba kwa nini wanaenda kufanya Mkutano wakati wamezuiliwa kufanya Mkutano Dr slaa alieleza Liwalo na Liwale na yuko tayari kupoteza Maisha ya Mtanzania yeyote ili kuimarisha Chama.
Hivi kwa nn Dr Slaa asiuzulu pamoja na Mwenyeki kama kweli wana nia ya dhati na Watanzania?
Kwa maneno aliyoyatoa ilikuwa ni lazima nguvu itumike kwa Sababu CDM Wakivunja Sheria wasiposhughulikiwa wanasema Serikali ya CCM dhaifu Sasa ili isiwe dhaifu lazima kila mmoja aheshimu sheria na anayevunja achukuliwe Hatua na ninamweleza IGP Na RPC Lazima muuendelee kulinda sheria kila mmoja aheshimu anayebisha ashughulikiwe...

Halafu Dr Alikuwepo Nyololo mbona alipoanzisha fujo tu hatukujua kaelekea wapi au ni Mkakati wa Chadema kuua watanzania wameagizwa na Wafadhili wao?

Kweli nimeamin kikao cha Chadema hakina Tofauti na kikao cha ukoo...Kikao cha Ukoo kinaweza kubadilika kuwa Kikao cha Chama

Ni lini utakombolewa kifikra?
 
Nape amezidi kudhihirisha jinsi uwezo wake wa kufikiri ulivyo mdogo.Kauli hii ni kejeli kwa umma unaolilia mabadiliko
 
Kwa maoni yako Dr. Slaa akivunja sheria, mwananchi achukuliwe hatua. Hatua ni kuuwawa ili serikali ionekane si dhaifu. Umadhubuti wa serikali unapimwa kwa kuua wananchi.
Nawauliza wanaJF. haya ndiyo mawazo ya mwanachama wa GREAT THINKERS?
 
Nina wasiwasi mkubwa na chadema hawa jamaa inaelekea wameweka tamaa ya madaraka mbele na ni watu wachochezi sana.ni kama kagenge fulani hivi ka wahuni
- kweli wachochezi wanawachochea Policcm wawaue wafuasi wao
- wamechoche hadi meli chakavu zikapakia abilia na kuzama
- wamechochea hadi wananchi Songea wakaandamana na Policcm wakaua 4
- wamechochea hadi fedha zikaamishiwa Uswiss
- Pia wamechoche serikali ilipe deni la RICHMOND, DOWANS na sasa SYMBION
 
Kama ni kweli unaamini ulichosema, Kwanini Police wasingemuua Dr.Slaa? Kwanini walimuua Mwandishi wa Habari? Sasa Dr.Slaa hawajibike kwa lipi?
Je ni Dr.Slaa aliye wachochea Bashe na Dr.K kutishiana kwa mitutu ya bunduki ndani ya ofisi ya CCM wilaya?
Je ni Dr. Slaa aliyesema Dr. Mwakyembe kawekewa sumu na wanachama wenzake wa ccm?
Je ni Dr. Slaa aliyechochea Waislam leo Dar kuandamana kudai madai waliyotoa?
Mtasema kila kitu, mtatumia kila kitu, mwisho wa siku HAKI ITAIBUKA MSHINDI

Mkuu wakati mwingine unatema!Ok,tatizo nikasimu kangu katochi,CHUKUA LIKE HAPA!
 
Tatizo la viongozi wengi wa CCM wanapenda kuongea nje ya kile wanachokiamini, Nape anajua ukweli, anaakili nzuri kiasi cha kujua kwamba CDM wanafanya kitu sahihi ktk M4C. Lakini ameshindwa kukiri ukweli kwamba POLISI na watawala (CCM) ndiyo wanaopaswa kulaumiwa.
 
Back
Top Bottom