Nape: CCM ikishindwa Arumeru ujue chama kitakuwa kinakufa

king11

JF-Expert Member
Jun 7, 2010
327
79
nape kupitia katika simu yake ya mkononi amesema CCm lazima kishinde Arumeru , kwani ni chama makini na kama kikishindwa ujue kimeanza kufa, nayeye anaamini chama hiko bado kipo imara hivyo kitashinda Arumeru.

Source:Nape Mnauye
 
Weka namba yake ya simu hapa tumuulize kama ni kweli...

Usije kuwa unatafuta cheap popularity. By the way Nape ni mwoga tu, afadhali hata Mwigulu yuko front anavizia mabinti wa Meru
 
Hata kama siyo nape katoa hayo maneno ila hakuna asiyejua ccm ipo jirani kabisa na kaburi ila wanachofanya sasa ni kujipa matumini tu
 
Kasema kweli. Sababu watakuwa hawakuweza kuchakachuwa. Wakishindwa Armeru watawezaje 2015?
 
Arumeru Mashariki ni jimbo moja tu, hivyo kwa akili timamu mtu huwezi ku-conclude kifo cha chama kwa kushindwa jimbo moja.
Kufa kwa CCM kupo tu, washinde au wasishinde Arumeru. Tungefurahi kumsikia akikemea kwenye vyombo vya habari matumizi ya rushwa huko badala ya kuongea unafiki kwamba CCM ni chama makini na imara; umakini wao uko wapi?
 
Nape karibu arusha, wazee wa kimeru wanasila ya kuzalilishwa na tendwa. Wanakusubiri we domokaya nape na yule mzinzi Migulu ya Chemba
 
Iwe kweli au uwongo, ni kwamba ccm inajichimbia kaburi lenyewe. Arumeru hawana chao!
 
inachukiza sana kuona watu wazima wanakosa subira na kuanza kuropoka na kutoa matusi hapa jukwaani.kwanini tusijifunze kukosoa bila kutukana???????????/
 
Tujaribu kusema mantiki, kumbuka hta watz walioko huku Ulaya wanawashangaa wale wanotumia jukwaa hili vibaya.
 
kisichoeleweka ni nini ? au unatatizo la kusoma vizuri?....nilimpigia simu binafsi akatoa majibu hayo

ulikua hujaeleweka mkuu, usijibu vibaya bila sababu, labda wewe ndio una matatizo ya kuandika

umesema kupitia simu yake ya mkononi.... hukusema liakua anaongea na wewe!!
 
Arumeru Mashariki ni jimbo moja tu, hivyo kwa akili timamu mtu huwezi ku-conclude kifo cha chama kwa kushindwa jimbo moja.
Kufa kwa CCM kupo tu, washinde au wasishinde Arumeru. Tungefurahi kumsikia akikemea kwenye vyombo vya habari matumizi ya rushwa huko badala ya kuongea unafiki kwamba CCM ni chama makini na imara; umakini wao uko wapi?
kwahiyo nape hana akili timamu sio?
 
nape kupitia katika simu yake ya mkononi amesema CCm lazima kishinde Arumeru , kwani ni chama makini na kama kikishindwa ujue kimeanza kufa, nayeye anaamini chama hiko bado kipo imara hivyo kitashinda Arumeru.

Source:Nape Mnauye
Hakika, NASEMA KWA HAKIKA NDOTO ZINGINE NI ZA AJABU SANA, KUNA WATU WANAOTA MPAKA WANADHANI NI KWELI NDOTO ZAO ZINZTIMIA KUWA CCM INAKUFA.....BY THE WAY KADRI MNAVYOIOMBEA MABAYA CCM NDIVYO MNAVYOTUOMBEA AFYA NA MAISHA TELE...SO ENDELEENI KUOTA
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom