Nape atimiza umafia Mwanza

Magwanda inaonesha mlikuwa mnafatilia kwa makini sana besidei ya CCM Mwanza. Kweli nimeamini CCM ndio namba wani. Kila details za besidei leo tunaipata kutoka kwa magwanda, raha sana. Kumbe walisilimishwa 1,800? na bado.

Sasa tunashauri kitengo cha propaganda kifanye besdei kila wiki na si kila mwaka.

CCM juu, juu, juu zaidi
Wamesilimishwa sijakuelewa unamaanisha wamekuwa waislam?
 
Magwanda inaonesha mlikuwa mnafatilia kwa makini sana besidei ya CCM Mwanza. Kweli nimeamini CCM ndio namba wani. Kila details za besidei leo tunaipata kutoka kwa magwanda, raha sana. Kumbe walisilimishwa 1,800? na bado.

Sasa tunashauri kitengo cha propaganda kifanye besdei kila wiki na si kila mwaka.

CCM juu, juu, juu zaidi

ccm inakufa wewe unasema juu...uliona wapi maita ikawa juu zaidi ya kuzikwa chini...​
 
Magwanda inaonesha mlikuwa mnafatilia kwa makini sana besidei ya CCM Mwanza. Kweli nimeamini CCM ndio namba wani. Kila details za besidei leo tunaipata kutoka kwa magwanda, raha sana. Kumbe walisilimishwa 1,800? na bado.

Sasa tunashauri kitengo cha propaganda kifanye besdei kila wiki na si kila mwaka.

CCM juu, juu, juu zaidi
 
Ndio maana ni vigumu kuitofautisha CCM, CUF na UISLAM

Tatizo la Watanzania hilo tu, Yaani kuona hilo vazi basi unahukumu, we una uhakika kwamba hiyo picha ndiyo mwenyewe? au kwa vazi hilo basi una mhukumu kuwa ni muislamu. ooh, Tanzania, watu wako wanaharakati uchwara, wepesi, hawana fikra. Watu kama nyie sijui mtaelimika lini. Acheni kukurupuka na tujaji mambo ya msingi kwa hoja. Poor Tanzania. Sasa wewe tukikupa hata ubalozi wa nyumba mbili si utatuangusha? Acheni siasa za kusoma mwanahalisi. lisingekuwepo ungefanya wapi siasa? Ndugu zangu, mabadiliko tunayatamani hata sasa yaje, lakini si kwa staili hizi za hoja "chapwa"
 
Wakuu leo Nape alikuwa akiumwa tumbo mana kila akitua airport mwanza anaanza kuhara
 
Hao wote waliokuwa wanakata viuno walikuwa wametoka nje ya mwanza,wale sungusungu wote ni kutoka vijijini huko kwenye wilaya za mkoa MWZ,na hata hivyo kwa wasukuma sherehe kama hizo za kucheza ngoma kwao ndio raha,ni kama watu wa mujini kugida beer kila jioni au kila weekend.ila hao wakinadilika ni hatari sana,najua muda utafika,ila kwa leo nilichokiona ni upotevu wa hela tu kwa kumuongopea JK na magamba wengine,ila hali naona bado si swari kwa mjini,lakini ole wenu na mipango yenu ya kulaghaina wenyewe kwa wenyewe
 
Sasa naamini kuwa Ukiweka Kinyesi pamoja na mwanaccm hakuna tofauti. Yaani wooote ni Mavi!
 
mambo ya ajabu sana haya hata Mbeya alifanya hivi hivi. Alitaja idadi ya watu wengi mwisho anasema watachukua watu 7 kwa niaba

Hivi chama tawala leo kinafurahi kurjea kwa wanachama toka upinzani hakijiulizi kwa nini walijivua uanachama na je kasoro zilizo wafanya wahame zimerekebishwa ili wasihame tena

Lakini kwa nini chana kikubwa kifanye Usanii karne hii
 
Magwanda inaonesha mlikuwa mnafatilia kwa makini sana besidei ya CCM Mwanza. Kweli nimeamini CCM ndio namba wani. Kila details za besidei leo tunaipata kutoka kwa magwanda, raha sana. Kumbe walisilimishwa 1,800? na bado.

Sasa tunashauri kitengo cha propaganda kifanye besdei kila wiki na si kila mwaka.

CCM juu, juu, juu zaidi

naona wavaa 'ngofilo' wote wa mwanza walikuwepo kirumba...mjiandae kuhamia chama kingine maana kuna kila dalili ccm haitasimamisha mvaa 'ngofilo' mwingine 2015.
 
Magwanda inaonesha mlikuwa mnafatilia kwa makini sana besidei ya CCM Mwanza. Kweli nimeamini CCM ndio namba wani. Kila details za besidei leo tunaipata kutoka kwa magwanda, raha sana. Kumbe walisilimishwa 1,800? na bado.Sasa tunashauri kitengo cha propaganda kifanye besdei kila wiki na si kila mwaka.
Sasa si bora we mwanamke ukae kimya tu!! Hapo kwenye red ndio nini hicho? Kwa hiyo ndiyo uelewa wako wa kimombo umekomea hapo?
 
...katika maadhimisho ya miaka 35 ya ccm huko mwanza Nape amesema wanachama 1847 wamejiunga na ccm baada ya kukimbia kwa baba yao wa kambo...Nape hajasema baba yao huyo wa kambo ni nani ila mipango yao ya kutengeneza kadi feki kibao za chadema na kugawa kwa hawa watu ili wadai kuzirudisha ilishajulikana...alichokifanya nape ni kutimiza umafia wa kuhadaa wananchi na kukihujumu chadema...kweli ccm ni chama pinzani mwanza leo nimejiridhisha..

Kama uliwahi kusoma psychiatry kuna sub type inaitwa 2nd personal disorder. Nadhani wafuasi wa CDM wamefika hiyo stage kila mwana chama mpya wa ccm kutoka cdm basi ni card feki .. hehe endeleeni kujipa moyo ...
 
Kwa hoja hii woooooote mmbebweka kuna chama kinakuja kitakachobeba utawala 2015 kama muujiza. achananeni na C C oooohh CCJ,CCM,CUF.CDM na wengine wengi wasotambulika hata kwa 5% ya watanzania lakini wanajidai wamo kwa kelele na ripoti za watafiti feki wa mezani na majibui ya D A I M!! Mmm vipi? Tafiti za kweli zisiszojali Posho na Mirage zimefanyika !!???! Mi ni Mpumbavu Kweli ila si MJINGA!
 
Haijalishi, iwe ni wanchama wa CDM kurudisha kadi, au CCM kupata wanachama wapya, jambo la msingi hapa ni dhahiri kuwa CCM imeshindwa kuendesha nchi. Huhitaji kuwa na degree ili kulitambua hilo!

Na ni vema ikafahamika kuwa, kuifikia hiyo 2015 mnayoitaja kwa hali ya sasa si kitu ndogo, pana kazi kubwa kwa CCM, JK ana kazi nzito, watu wameichoka utadhani hii ni 2014 kumbe ndiyo kwanza mwaka mmoja tu baada ya uchaguzi.
 
Yamekuja mabasi na malorry kibao yaliyo kodishwa kuleta watu toka vijijini na mikoa jirani.
Kati ya mabasi yaliyo nipita nikiwa maeneo ya Igoma Mz ni AM COUCH, ZAKARIA na malorry kibao! Chakushangaza basi la AM jamaa walipita wakinyoosha vidole viwili (CHADEMA) madirishani kuonyesha kuikubali Cdm na kwa upendo mkubwa mbali na kutoka kutumbua vyakula vya magamba zikiwemo Ng'ombe 70 zilizo chinjwa.
 
Back
Top Bottom