Nape apingwa Facebook

Henry Kilewo

JF-Expert Member
Feb 9, 2010
899
1,084
haya ndiyo maneno ya nape fb.*




TUMETHUBUTU ,TUMEWEZA,TUNASONGA MBELE......




2 hours ago*via*Facebook for iPhone*·*Like*·*
 
sasa hivi nimeamini maneno ya Rev Masa... Kuwa changes and revolution is coming.but sijajua hawa wanaoendelea kuipigia ccm makofi ni kina nani? Wana haki gani? Lkama mambo yao safi kwa nini wasije huku mitandaoni tupambane? Au ndio hata access ya net hawana? Vitenge vya kanga vimewatosha..
 
nape amekimbia JF ... sasa ameenda kuchafua hali ya hewa FB ..... watanzania wa sasa sio viazi wanauelewa mpana na huwezi waburuza kwa siasa za kipuuzi
 
Sasa kama ccm mnapigwa kwenye mitandao yote tena na watu ambao nirafiki zenu, bado mnamoyo wakuwaongoza watz waliyo wakataa? mtasema fb ni chadema? no watu wataka mabadiliko na sipropaganda za kukiponyesha chama.
 
kuna watu walikuwa wanambishia rev nadhani wameisoma kimoyomoyo..
naomba tu isiwe ya kwenye mitandao ya kijamii tu na ifanyiwe kazi..
 
siku zote mtu anayesimamia ukweli na haki hawezi kuipenda ccm.

Yeah, I came to Discover that most Intellectuals Hate CCM.

I wonder what is wrong with the few intellectuals here who supports this party.

kwanini lakini binadamu tunajichimbia makaburi wenyewe?
 
Hana majibu huyo, atakupotezea wakati buree kumfikiria!!
anachofanya nape ni kueneza ujumbe na kula kodi yetu kichama jamaa amefanikiwa lakini kihali halisi jamaa anaichimbia kaburi Chama Chetu Mafisadi..
 
kuna watu walikuwa wanambishia rev nadhani wameisoma kimoyomoyo..
naomba tu isiwe ya kwenye mitandao ya kijamii tu na ifanyiwe kazi..

kwenye mitandao yote hamna mtu anayepoteza time kuisifia ccm kwa upuuzi. *wanaofanya hivyo ujue wanalipwa kwa mf gazeti la mtanzania lilikuwa na mkataba na ccm, mkataba ulipoisha likaanza kuandika ukweli japokuwa wengi twaweza sema ni kwasababu rostam alisakamwa na ccm wenyewe, basi rostam asingekubali ziandikwe habari za chadema kwakuwa chadema ndiyo tuliyomtolea uvivu. UKWELI NA HAKI HAVIJAWAHI KUSHINDWA.
 
jamani hivi ccm mnagoja nini msitupe nchi yetu? maana sasa kila mahala watu wanawakataa. kiukweli ccm sasa mmekosa mvuto you better go.....
 
Nape kila kukicha unaongeza idadi ya maadui wako kupitia
1. Uongo wako na sera mbovu
2. Maisha magumu kwa watz wakati wewe unaleta utani
3. Umeme na sera ovyo za serikali hasa wizara ya nishati na madini
4. Wananchi hawapati huduma bora mfano afya, maji, elimu
Badala ya kuadress matatizo haya mtayatatuaje wewe unaelekeza nguvu kupambana na upinzani..
 
Nape kila kukicha unaongeza idadi ya maadui wako kupitia
1. Uongo wako na sera mbovu
2. Maisha magumu kwa watz wakati wewe unaleta utani
3. Umeme na sera ovyo za serikali hasa wizara ya nishati na madini
4. Wananchi hawapati huduma bora mfano afya, maji, elimu
Badala ya kuadress matatizo haya mtayatatuaje wewe unaelekeza nguvu kupambana na upinzani..

mfa maji haishi kutapatapa hawajui walitendalo ndiyo maana sasa wamekuwa wehu, kila siku nawao hulalamika wakati wamepewa dhamana ya kuliongoza taifa wanashindwa kutupa hope.
 
Nape ishia huko huko Facebook na ukilaza wako upo CCM kutafuta kula,usijaribu kuitakasa CCM maana utazidi kuwaongezea kichefuchefu watanzania..ali mradi mkono unaenda kinywani...keep quiet!!
 
 
Back
Top Bottom