Nape aenda Houston kushughulikia Mgogoro wa CCM

Ukweli ni kwamba Nape amekuja kupumzika marekani. Hakuna siasa hapa sio Uingereza! lakini kama amekuja kupumzika na kula pesa mwacheni lakini kama amekuja kueneza chama basi amechemsha
 
Heh..makubwa..Jamani siasa ni kila mtu na maamuzi yake..hata nyie mlioko kwenye vyama vingine ni hiari yenu..kama mtu kaamua kuwa ccm vilevile ni matakwa yake we inakukera nini???sasa huo upinzani mnaousema utakuwa na maana gani kama wote tutakuwa CDM??hakuna mtu anayeishi ulaya kwa hela ya chama chochote cha siasa..!!!Kwangu mimi siamini kama kuna chama chochote sasa hivi huko Tanzania chenye uwezo wa kuleta maendeleo kila mmoja abebe tu tumbo lake mwenyewe..
 
Back
Top Bottom