Napataje Leseni ya kufuga wanyama pori

Ricky Blair

JF-Expert Member
Mar 13, 2023
391
873
IMG_5971.jpeg

Hivi nikitaka kufuga mnyama wowote pori Tanzania ikiwa nakaa naye mw na ulinzi mkali bila kuhatarisha mtu yoyote na majirani; utaratibu upoje?
 
Nimewahi kusikia tu kwamba ukienda TAWA watakupatia Utaratibu wote pamoja na gharama kama zipo..
 
Unataka Mnyama Pori kwa ajili ya Ulinzi?

Anzia Mirembe watakupatia utaratibu na matibabu kama ikilazimu. Kisha uende Ofisi za TAWA watakusaidia further.
kukaa kimya pia Inatosha Km unaona swali la kijinga. Nimeuliza kwa maana yangu. Ungesema hujui au kuna sehemu ya kwenda au hairuhusiwi; sio kunipekua mie.

Tatizo yenu mnaona kila swali personal na linahusisha muulizaji mw directly. Cjui hata Necta ulikuwa unajibu ivyo. Ila kuna low IQ sana umu.
 
Ushauri wangu hujaupenda?

Nimekueleza hatua zote za kupitia mpaka kumilikishwa Mnyama Pori kama unavyotamani..
 
Labda anataka kufungua zoo, Kama ya kigamboni sio mbaya, na wamewaketa baadhi nanenane, kuona na ela.
 
Back
Top Bottom