Napata shida sana kujua dhamira ya Mh Lowassa kwa Taifa la Tanzania na katika Siasa za Tanzania

Mkuu,binafsi nina hamu sana ya kujadili mada yako..ila kwa kuanzia ungetuthibitishia,beyond doubt,kwamba jamaa ananunua watu..kisha ndio tuendelee..

Uthibitisho hupo anzeni kuangalia Viongozi wenu na watu wote wa karibu yao ndani ya nchi na wengine nje kwenye acc zao utakuja kuona kuna mabadiliko na kama bado hayajaanza kutokea sasa basi subiri ata miaka 5 mbele utaona figures zinavyoanza kubadirika.
 
1: Aliangaika sana kwa hali na mali kwa kutumia Pesa nyingi sana ndani ya CCM ili siku moja aweze kuwa Rais.

2: Kama angefanikiwa ndani ya CCM angetawala nchi kwa kufuata Sera za CCM na kudumisha Muungano wa Tanzania.

3: Leo hii amewakana CCM kwa kusema 'CCM si baba yangu wala mama yangu' kwa kutumia Pesa nyingi saana na kuhamia CHADEMA. Kama leo hii CCM imekanwa basi na wewe ukiwa kama mwanachama wa CHADEMA/UKAWA au Mwananchi wa kawaida wa Tanzania basi na wewe jiandae kukanwa wakati wowote.

4: Ametumia Pesa nyingi sana kuwashawishi CHADEMA na wengine (kuwanunua) ili awe mgombea pekee wa Urais kupitia UKAWA. Hii inaonesha wazi wazi ni jinsi gani Mh Lowassa hasivyopenda Demokrasia ya kweli na kupenda Uditekta kwa chochote atakacho.

5: Hivi Sasa amehamia CHADEMA kwa matumaini kwamba atashinda Urais na kama akifanikiwa basi atakuja kutawala nchi kwa kutumia sera za CHADEMA/UKAWA na kuvunja Muungano wa Tanzania na kuweka Serikali tatu.

Nikiwa kama Mwananchi nisiye na Chama chochote cha Siasa hapa Tanzania, napata shida saana kujua dhamira ya Mh Lowassa katika Siasa za Tanzania, napata shida sana kujua dhamira yake ndani ya Tanzania kitu ambacho kinanifanya KAMWE siwezi kumuamini chochote asemacho kuhusu swala lolote ndani ya Tanzania, kitu ambacho kinanifanya kutoamini chochote wasemacho CHADEMA/UKAWA maana kama wanaweza kununuliwa kwa mabilioni machache basi ata rasilimali za nchi na Serikali yao siku wakishika madaraka inaweza kununuliwa na Mataifa ya nje kwa pesa ndogo sana.

Kwa kutumia uzoefu wangu wa kutambua watu, Vitu vyote afanyavyo na matendo yake nayaona ni kama mchezo wa kuigiza and its too Good to be true haswa haswa sura yake ukiiangalia kwa makini sana you will see theres something fishy going on.

Kama kweli anauchukia Umasikini na anauchukia umasikini wa Watanzania basi katika mabilioni aliyoyapoteza kwenye Kampeni za kutaka kuwa Rais kupitia tiketi ya CCM na mpaka sasa CHADEMA/UKAWA basi kwanini asingetoa kiasi kidogo kwa Wananchi wa Tanzania na kuwasaidia??!

Je Mh Lowassa una dhamira gani ndani ya Tanzania, Je ni nani anayekutumia kuusaka Urais kwa namna hiyo?? Kwa malengo gani haswa??!

Watanzania, CHADEMA/UKAWA na vyama vyote vingine vya Siasa nchini
muogopeni Mh Lowassa zaidi ya Ukoma, CCM wameona basi nanyi kuweni makini sana.

Asanteni.

Je inakuathiri nini wewe binafsi akiwa ama asipokuwa rais?
 
Huwezi ukajua azma yake kama huna chama cha siasa ambacho wewe ni mfuasi

Sina Chama cha Siasa kwa maana Taifa langu la Tanzania ndio kitu cha kwanza kabla ya kitu chochote na ndio maana nataka kuwaamsha Watanzania ili wamuogope Lowassa zaidi ya Ukoma kwa maana hana manufaa na dhamira njema kwa Taifa la Tanzania. Nadhani umenielewa Mkuu.
 
1: Aliangaika sana kwa hali na mali kwa kutumia Pesa nyingi sana ndani ya CCM ili siku moja aweze kuwa Rais.

2: Kama angefanikiwa ndani ya CCM angetawala nchi kwa kufuata Sera za CCM na kudumisha Muungano wa Tanzania.

3: Leo hii amewakana CCM kwa kusema 'CCM si baba yangu wala mama yangu' kwa kutumia Pesa nyingi saana na kuhamia CHADEMA. Kama leo hii CCM imekanwa basi na wewe ukiwa kama mwanachama wa CHADEMA/UKAWA au Mwananchi wa kawaida wa Tanzania basi na wewe jiandae kukanwa wakati wowote.

4: Ametumia Pesa nyingi sana kuwashawishi CHADEMA na wengine (kuwanunua) ili awe mgombea pekee wa Urais kupitia UKAWA. Hii inaonesha wazi wazi ni jinsi gani Mh Lowassa hasivyopenda Demokrasia ya kweli na kupenda Uditekta kwa chochote atakacho.

5: Hivi Sasa amehamia CHADEMA kwa matumaini kwamba atashinda Urais na kama akifanikiwa basi atakuja kutawala nchi kwa kutumia sera za CHADEMA/UKAWA na kuvunja Muungano wa Tanzania na kuweka Serikali tatu.

Nikiwa kama Mwananchi nisiye na Chama chochote cha Siasa hapa Tanzania, napata shida saana kujua dhamira ya Mh Lowassa katika Siasa za Tanzania, napata shida sana kujua dhamira yake ndani ya Tanzania kitu ambacho kinanifanya KAMWE siwezi kumuamini chochote asemacho kuhusu swala lolote ndani ya Tanzania, kitu ambacho kinanifanya kutoamini chochote wasemacho CHADEMA/UKAWA maana kama wanaweza kununuliwa kwa mabilioni machache basi ata rasilimali za nchi na Serikali yao siku wakishika madaraka inaweza kununuliwa na Mataifa ya nje kwa pesa ndogo sana.

Kwa kutumia uzoefu wangu wa kutambua watu, Vitu vyote afanyavyo na matendo yake nayaona ni kama mchezo wa kuigiza and its too Good to be true haswa haswa sura yake ukiiangalia kwa makini sana you will see theres something fishy going on.

Kama kweli anauchukia Umasikini na anauchukia umasikini wa Watanzania basi katika mabilioni aliyoyapoteza kwenye Kampeni za kutaka kuwa Rais kupitia tiketi ya CCM na mpaka sasa CHADEMA/UKAWA basi kwanini asingetoa kiasi kidogo kwa Wananchi wa Tanzania na kuwasaidia??!

Je Mh Lowassa una dhamira gani ndani ya Tanzania, Je ni nani anayekutumia kuusaka Urais kwa namna hiyo?? Kwa malengo gani haswa??!

Watanzania, CHADEMA/UKAWA na vyama vyote vingine vya Siasa nchini
muogopeni Mh Lowassa zaidi ya Ukoma, CCM wameona basi nanyi kuweni makini sana.

Asanteni.

Wanachama wa chadema hawana uhusiano wowote na ccm eti unasema atawakana kama wa ccm. Na hilo la kusema atavunja muungano ni propaganda ya watu waliofisika kisiasa kama wa ccm, hiki ni kizazi kingine kabisa na ccm mjiandae kisaikolojia. Hiki ni kizazi cha liwalo na liwe, zama za kuishi kwa uongo uongo na uzushi za ccm zimepitwa na wakati. Lazima muondoke madarakani mtake msitake. Tutamuunga mkono yeyote mwenye uwezo wa kuiondoa ccm, iwe kwa kuvunja muungano, Boko haram au Al qada ni lazima muondoke.
 
Kwani wewe kwa hoja yako unadhamira ipi?

Dhamira yangu ni kuwaamsha Watanzania wote ili wamuogope Lowassa zaidi ya Ukoma kwa maana hana manufaa na dhamira njema kwa Taifa la Tanzania.

Nadhani umenielewa Mkuu.
 
Mkuu sina chama chochote cha Siasa uwoga wangu umeingia juu ya matendo ya Lowassa kwa kutumia Pesa nyingi sana kuutafuta Urais na mshangao wangu kwa CHADEMA/UKAWA kukubari kuuza chama kwa Mabilioni machache!

Kama umeingiwa uoga anza kuondoka kabisa. Dhamira ni kuiondoa ccm kwanza. Safari hatuhitaji sera wala nini, ni miaka 54 sasa ya sera tu lakini hamna lolote. Sera na dhamira ya maendeleo zitatungwa baada ya ccm kuondoka madarakani.
 
Kwanza kuwasemea masheikh walo wekwa jela na ccm kwa uonevu
 
Safari hii ccm hautapumua Zanzibar wala huku bara, lazima ccm iondoke kwanza kisha mipango ya maendeleo ndiyo ipangwe.
 
Kama umeingiwa uoga anza kuondoka kabisa. Dhamira ni kuiondoa ccm kwanza. Safari hatuhitaji sera wala nini, ni miaka 54 sasa ya sera tu lakini hamna lolote. Sera na dhamira ya maendeleo zitatungwa baada ya ccm kuondoka madarakani.

Ingekuwa ni vyema ungeweza kuiondoa CCM kwa kupitia Mwanachama wa Chadema, Sasa kuiondoa CCM kwa kutumia Lowassa hauoni ni yale yale?? Lowassa ni yule yule mtuhumiwa wa Ufisadi na juzi juzi tu alikuwa Mwanachama wa CCM??

Ungejiuliza Swali la Msingi, Lowassa angekubarika CCM leo hii angekuwa CHADEMA/UKAWA?? Je huyu Lowassa anawajari kweli??!

Hivi nyie CHADEMA/UKAWA huyu Lowassa amewa-brainwash kwa kitu gani zaidi ya Pesa zake??!
 
Kama Signature yako isemavyo 'No Permanent Allies,No Permanent Enemies, I only Have Permanent Interests' basi nimepata picha kujua kwamba wewe ni ndugu mmoja na Mh Lowassa...

Naomba tujadiri swala la msingi juu ya dhamira ya Lowassa kwa Taifa ili na mabilioni yake anayotumia mpaka sasa!

Ungetuwekea uthibitisho wa hayo 'mabilioni' kisha viambatanisho vingine utangulie navyo TAKUKURU....
 
Back
Top Bottom