CPA
JF-Expert Member
- Mar 1, 2011
- 809
- 354
Nikinuu kauli ya baadhi ya watawala na wachambuzi wa siasa za kimataifa, "..marekan haina rafiki bali wanajari interest zao" ziara hiz za viongoz wa wa juu wa U.S, kuja Tz inatia wasiwasi, some thing wrong hapa. Dowans imenunuliwa juzi leo kaja h.clinton, kuizundua. Na hii kampun imekaa kaa ki CIA, Nimefungua website inaonyesha wamepewe tender na serikali ya USA Kusambaza umeme afghanistan, iraq. Jaman tuwe makin, siwaamin kabisa marekan.