Napata shaka sana uhusiano huu wa Marekani na Tanzania

CPA

JF-Expert Member
Mar 1, 2011
809
354
Nikinuu kauli ya baadhi ya watawala na wachambuzi wa siasa za kimataifa, "..marekan haina rafiki bali wanajari interest zao" ziara hiz za viongoz wa wa juu wa U.S, kuja Tz inatia wasiwasi, some thing wrong hapa. Dowans imenunuliwa juzi leo kaja h.clinton, kuizundua. Na hii kampun imekaa kaa ki CIA, Nimefungua website inaonyesha wamepewe tender na serikali ya USA Kusambaza umeme afghanistan, iraq. Jaman tuwe makin, siwaamin kabisa marekan.
 
Kwenye hafla ya kuzindua umeme wa Symbion, Ngeleja Kasema serikali imejipanga kutengeneza umeme megawatt 3000 by 2015. Yetu macho.
 
Sarakasi zinaendelea, kumbuka barrick ipo kwenye soko la hisa la NY; na penye maslahi ya wamarekani shuruti serikali yao ikodolee macho.
Hili taifa lina maslahi ya kudumu ila halina rafiki wa kudumu. Ngoja wachote
 
hakuna lingine rais mstaafu Clinton alivyo kuja last time alikwenda mtwara, je ni kutalii au kucheck madini ya Uranium?
 
Kwenye hafla ya kuzindua umeme wa Symbion, Ngeleja Kasema serikali imejipanga kutengeneza umeme megawatt 3000 by 2015. Yetu macho.

Huyu Ngeleja hajui anachozungumza, juzijuzi wakati kabanywa mbavu kuhusu mgao alisema tatizo la umeme Tanzania itamalizika mwaka 2033! Sasa tumamini kipi,. huyu naye ni msanii hana plan ya wizara yake, ana ropokaropoka tu!
 
Marekani na nchni za Ulaya zina mitambo mikubwa sana ya Uranium lakini hizo nchni hazijawai kuchimba Uranium hata siku moja katika ardhi zao! Afrika inaongozwa na wajinga kuliko kiasi, hawa jamaa wameshapata mikataba ya Uranium ya Singida.

Ni bora basi tuwe sehemu ya America ilitufaidi Uraia wa America maana najua kwa kuendelea kuitwa Watanzania kitakachofuata hapa ni kama Kongo, Somalia na Pakistani
 
anakuja clinton toka marekani kuja kuzindua na kukagua baadhi ya miradi , tumekwisha, akaongeza na angalizo la hawa wachina afrika muangaliye sana, ujinga tu hakuna lolote kuna kitu ngoja yetu macho na masikio,
Mimi ninachojua Marekani ni paka na sisi watanzania ni panya tunasubiri tu kutafunwa.
 
Ni omba omba wachache na sijui kama wapo wana uwezo wa kukataa noti sababu tu ni chafu tena kama noti anayopewa ni wekundu wa msimbazi.

Kwa case hii , nchi yetu Tanzania omba omba haina choice.
 
karibu tanzania mama clinton.wamarekani ni watu wazuri sana,wametuhurumia kuwa tunalala gizani kila siku,wametuletea symbion.si unakumbuka pia mr.bush alituletea vyandarua na akaruka na wamasai kule arusha?.i hope mama clinton ataenda samunge kwa babu kupiga kikombe kabla ya kurudi new york.............jeuri yote yaccm iko hapo.ukipambana nayo unapambana na marekani .
 
Tukianza kuzalisha uranium hatutaki mgao wa umeme!
Hii habari ya Uraniam kila nikiisikia nahisi kuihurumia sana nch yangu, hao wajerumani na wajapani wameanza mchakato wa kuzima vinu vya nuclear, eti sisi tunataka kuchimba tutamuuziamuuzia nani?....isitoshe hiyo uranium ni disaster sasa sisi tunashabikia tu!
 
naombeni kuwajuza hawa mnaowakataa siku nyingi waliingia nchini kwetu CPA naombanikwambie marekani inafahamu sana kuwa wa tz japo wanapenda life style na kila kitu kutoka marekani lkn bado hawawapendi wamerekani hivyo basi misaada yoote uliyokuwa unapata kutoka DANIDA,na nchi nyingine kama sweden ,finland nk nyuma alikuwapo/yupo mmarekani .....CIA wapo every where kaka ila kwa sasa wameamuua kumiliki kigamboni yetu ili waweze kufanikisha mambo yao hivyo hatuna ujanja kaka maskini siku zote ni ndiyo tu
 
.........................Yani unastuka leo mkuu,nchi hii ilikwisha uzwa kwa wamarekani long time,angalia ya Mara na sehemu nyingine..lol!!
 
"..marekan haina rafiki bali wanajari interest zao" ziara hiz za viongoz wa wa juu wa U.S, kuja Tz inatia wasiwasi, some thing wrong hapa.

Mkuu kwani hujui kuwa Tanzania kuna URANIUM.
 
Back
Top Bottom