Kipenseli
JF-Expert Member
- Feb 9, 2020
- 800
- 1,050
Habari Zenu Wana JF? Poleni na Mfungo pamoja na harakati za kupambana na pandemic disease inayosumbua dunia kwa sasa....Naomba nije kwenye point yangu ta msingi
*Mimi ni muathirika wa tatizo la usikivu (Tinnitus) katika sikio langu la upande wa kushoto na niliamua kukubaliana na hiyo hali baada ya kuona kuwa haiwezi kutibika tena baada ya kufanya jitihada za matibabu for almost miaka miwili bila ahueni.
*Ila tatizo jipya kwangu ni kuwa na viuvimbe fulani na kutokwa na uchafu katika sikio langu la upande wa kulia ambalo kiusikivu ndo liko poa kwa sasa jambo ambalo limenipelekea kuwa na homa kali na maumivu makali ya kichwa...
*Ni siku ya 6 sasa nasumbuliwa na hayo maumivu ya kichwa despite nime attend hospitali na kufanya vipimo huku nikiwa nimeambiwa nina malaria (Na Doze ya malaria nimeshamaliza ) lakini bado nasumbuliwa na hayo maumivu ya kichwa na temp kuwa juu sana....
*Swali langu kwa wanaJF na Professional wa ENT je tatizo langu linaweza kuwa ni nini? ni dawa gani inafaa kutuliza haya maumivu na je kuna uhusiano wa maumivu ya kichwa kutokana na viuvimbe katika sikio (Vijipu)?...Ni dawa gani mujarabu iwe ya asili au kawaida inayofaa kutibu tatizo langu?
*kuhusu suala la vipimo katika specialized hospital zaENT ni vigumu kidogo kwangu kutokana na changamoto ya kuafford gharama za matibabu pili hofu ya kusambaa kwa ugonjwa wa homa ya mapafu ambayo inaaffect movement za watu kutokana na kujilinda n maambukizi hayo
Msaada wenu wana JF
Sent using Jamii Forums mobile app