Plot4Rent Napangisha Chumba na sebule savei

Dadio

JF-Expert Member
Mar 14, 2012
359
42
Chumba sebule jiko pamoja na choo chake kinapangishwa maeneo ya savei dakika 7 tokea mlimani city. Bei yake ni sh 180, 000/= inahitajika kodi ya mwaka.

Nb hakuna uzio ila kuna usalama na parking kwa wale mwenye gar. Hakuna dalali. Kwa atakayekiitaji awasiliane na mimi. 0682540067
 
Tafuta madalali ila sizan kama utapata nyumba kwa kulipia miez 4
 
Back
Top Bottom