naona nchi hii igawanywe

Red Giant

JF-Expert Member
Mar 9, 2012
15,658
20,889
kila kukicha tunapiga kelele za udini udini, mara kupokezana urais kwa misingi ya dini na upuuzi mwingine mwingi. naonelea vema iitishwe kura ya maoni tugawane nchi kwa misingi ya kidini mikoa fulani ikubali kuwa ya kikristo na kuunda taifa lao na mingine taifa la kiislamu na marufuku kupractice dini nyingine katika nchi ya wengine. dini zingine watachagua kati ya hizo mbili. samaki mkunje angali mbichi tusijefika point of no return na haya mambo ya udini.
 
Mkuu hii dunia tunapita tuuu kila tulifanyalo tuwaze madhara yake kwa kizazi kijacho.
 
kizazi wayakuja kuchinjana sana, maana haya mambo yanakuwa mabaya kadri siku zinavyoenda.
 
Back
Top Bottom