Daniel Mjema
Member
- Jul 23, 2007
- 77
- 84
Wana JF
Ninaomba msaada kwa yeyote anayefahamu. Nimelipia DsTV kwa M-Pesa lakini mpaka sasa haijawa activated, nifanyeje?Niliwahi kusoma kwenye tangazo lao moja kuwa isiporudi kuna code namba za kutuma sms. Please naomba msaada.