Wana JF naombeni ushauri wenu. Sijawahi kumiliki gari naona sasa muda muafaka umefika. My dream car ni swift, wakati ninapanga kukamilisha ndoto yangu nishaurini. Sina uelewa wa magari na hili ninalowaza kulinunua nitaagiza mwezi wa tano. Wakati huu najazia jazia kibaba nishaurini isije kuwa naingia chaka.