Naombeni ushauri wa kisheria

Makombeni10

Member
Jul 29, 2015
34
64
Nimefungua kesi mahakama kuu dhidi ya eco bank. Kuna mtu amefoji title kwa jina la marehem mzee wangu ambae amefariki miaka 15 nyuma. Huyo mtu amekopa bank 250m na akaweka dhamana. Mwishowe bank walinivamia kutaka kuuz nyumba yangu. Ndipo nikaidhtak bank.
Kwa sasa ipo ptc ya mwisho kisha itaanza kusikilizwa..
Katika shitaka langu nimeitaka bank ikipe fidia kwa udhalilishaji.
Kwa wenye uzoefu. Nikishinda je naweza kulipwa fidia ya kias gan. Kwa makadirio??
Kwa wenye kujua naombeni msaada
??
 
Bro anataka umtumie Private message kama unatumia PC(desktop) utaiona alama ya barua ipo mkono wa kulia na inasema Send Pm.
 
Hapo kwa ninavyoona ni bora uweke mwanasheria lakini unapoongea nae mwambie au muulize kwanza kama unaweza kuwashitaki pia kama ndio upo uwezekano wa kupata fidia ya usumbufu na kuondolewa jina la mzee wako kwenye hio kesi na kumtafuta mtuhumiwa halisi. na kwa uono wangu itakuwa kuna watu wawili ndio wanahusika na hio scam(utapeli) mmoja atakuwa mwanafamilia au jirani na wapili itakuwa sehemu yenye kutoa vyeti ya watu waliofariki sijui inaitwaje. na huyo mwanasheria akimkwambia kama upo uwezekano wa kushinda hio kesi mwambie kuwa utamlipa pindi utakapoipata hela. kwasababu nimekupa ushauri wa kuweka mwanasheria makampuni mengi huwa wana wanasheria wa na wanajua jinsi ya kuichezea hio sheria. nakutakia mafanikio mema.
 
Namba yangu mimi nipo mbali mkuu itakuwa ni long distance lakini kama unatumia simu unaweza kumtumia hio PM(Private Message) kwa kufanya hivi:- iguse message yake kama unataka kureply utaona vidoto vitatu mkono wa kulia, itafunguka na utaona inasema Send author a message gusa hio litakuja jina lake na chini yake itasema Subject andika mauzui yako(sababu ya kumtumia hio sms) kama unataka namba yake halafu kuna mstari empty hapo andika hio message yako. na ataipata private
 
Kama uko Dar na wahitaji MTU atakayefikiria badala yako mahakamani, nimekuchek pm na kwnye CMU yako.
 
Huo utapeli ni babkubwa sana. Yani hadi valuer wa bank kafanya kazi yake na tapeli, documents ni safi kiasi kwamba msajili wa hati kaiidhinisha!! Huyo aliyemu impersonate marehemu baba yako ni mtu hatari sana, u need a.good lawyer for sure
 
Back
Top Bottom