kelvin eustace
Member
- Mar 31, 2014
- 26
- 3
Wadau naomba mnisaidie mimi ni muhitimu wa kidato cha nne 2015 nimefanikiwa kupata dívision 2 ya point 19 katika maisha yangu ya O level sikupenda somo la biology japo nilikua nachukua science matokeo yameonyesha hata biology nimefaulu kiukweli naipenda sana arts hasa combination ya HGL lakini mama amenitaka niende kuanza diploma ya clinical officer but siko enterested na udaktari.
Nifanyeje?
Nifanyeje?