Naombeni ushauri juu ya hili

neema pita

Member
Apr 26, 2012
30
6
poleni na majukum wana JF wenzangu mimi nimemaliza kidato cha nne nikapata division four ya 30 nimekaa nyumbani mpaka nimechoka maisha magum imebidi nitafute chuo nisome chuo cha nurse biology nimepata f, kunamtu akanishauri ni gush chet kutoka wizarani kunamtu anaweza kufanya kaz hiyo nakunipatia cheti chenye maksi nzuri. naombeni ushauri kuna uwezekano wa kutengenezewa kutoka wizarani na kisijulikane? naombeni ushauri nimeshindwa nifanyeje
 
Nakushauri usigushi cheti, siku hizi ukigushi ni rahisi kugundulika tofauti na miaka ya nyuma. jaribu kuapply vyuo vinavyotoa kozi za nursing unaweza kuchukuliwa hata kama hukufaulu biology.
 
Back
Top Bottom