Naombeni ufafanuzi

pepim

JF-Expert Member
Aug 1, 2011
335
51
Jamani eeh,naombeni ufafanuzi katika hili. Hivi kama mi nakuwa mwezini(hedhi) kila tarehe 5 ya mwezi, nikifanya tarehe 14 nitakuwa hatarini?........Nimeuliza hivyo kwasababu nilifanya tarehe 14-07-2011,kutoka tarehe 05 mwezi huu mpaka sasa sijaziona sik* zangu. Ufafanuzi tafadhali........
 
hapo mwana anajitunga..... anza maandalizi lakini kubwa kuliko yote usitutegemee sisi wana jf ambao nasi tunayetu makubwa...plz mcheki dr maana inawezekana haujajiandaa kupata chalii. so see the dr beibe
 
hehehe kagreti thinka junior kanakuja, kinamama tunaomba vigelegele kidogo!
huyu dada anauliza makofi polisi ? kuna njemba zina mbegu zenye nguvu siku yeyote ukikubali bila kinga ujue baada ya miezi tesa tunakaribisha Mtanzagiza mwingine ulimwenguni lol!
 
Kuna njemba niliwahi kuishuhudia inaondoka na supu ya kenge halaf salad yake ni majani ya mtumbaku! heheeh sasa unazani njemba kama hii inaathiriwa na kalenda? ,
to cut ze stori short: umeongea nukta kamanda, kuna njemba hata mdada awe kwenye siku zake wao zinatingisha nyavu!

hapa kinachotakiwa greti thinka atayarishe jina tu la kajunior ketu
 
mkuu haya mambo ya kalenda ndio yanaongeza abosheni kuna babu yangu aliniambia watoto wake wote walizaliwa kwa yeye kajamiana na mkewe zile siku 2-3 baada ya hedhi na wanapumzika wiki kabla ya kuendelea na ile ya leisure teh teh teh!
 
Hii dunia usanii mtupu! ukijifanya greti thinka na makalenda yako ndo mara unashtukia unapata kaujauzito ka twins, bora tuhubiri ile ile kuujaza ulimwengi tu ili tujifariji.
 
Ninacho kitabu kizuuri sana kuhusu habari hizo...nilipata switzerland. Sasa sijui utakipata vipi..unaishi Dsm? Una husband? Kama huna usiache condoms tafadhali..kama unaye mshauri mtumie sindano ya uzazi wa mpango not vidonge nor vijiti
 
Hapana siishi Dar nipo Singida...Na wala sina mume ila nina mchumba.
 
Jamani eeh,naombeni ufafanuzi katika hili. Hivi kama mi nakuwa mwezini(hedhi) kila tarehe 5 ya mwezi, nikifanya tarehe 14 nitakuwa hatarini?........Nimeuliza hivyo kwasababu nilifanya tarehe 14-07-2011,kutoka tarehe 05 mwezi huu mpaka sasa sijaziona sik* zangu. Ufafanuzi tafadhali........

dada Pepin...usfuatishe tarehe kwani tarehe za mzunguko huwa zinabadilika badilika...so uking'ang'ania tarehe fulani basi utanasa tu!

Kwenye hii scenarion yako..ulianda hedhi kwa mara ya mwisho tarehe 05/07/2011, kama una mzunguko wa siku 28 (ambao wanawake wengi huwa hivyo), basi tarehe 14/07/2011 itakuwa ni siku ya 10 ya mzunguko. Wetu wenye mzunguko wa siku 28, siku zao hatari kupata mimba huanzia siku ya 11 hadi siku ya 18 ya mzunguko. Kama una uhakika mzunguko wako ni siku 28....you are safe! Kama una uhakika!
 
dada angu nadhani utakuwa mjamzito..birth control kwa njia ya kalenda haiko effective sana na sio relliable, maana ovulation period zinapishana sana kutoka kwa mtu mmoja na mwngn(ke)..cha mhm nenda hospital kapime tu mimba ili uweze kuwa na uhakika zaidi.
 
duh pole sana
Jamani eeh,naombeni ufafanuzi katika hili. Hivi kama mi nakuwa mwezini(hedhi) kila tarehe 5 ya mwezi, nikifanya tarehe 14 nitakuwa hatarini?........Nimeuliza hivyo kwasababu nilifanya tarehe 14-07-2011,kutoka tarehe 05 mwezi huu mpaka sasa sijaziona sik* zangu. Ufafanuzi tafadhali........
 
Hey wanajf,ahsanteni sana kwa mawazo yenu.......Mi ni kidume jama,ila niliuliza kwa niaba ya rafiki(me) na mpenzi wake..Wao co wanachama wa jf..
 
Dah!!!haya kaka pepim....naona wana jf walishaanza kuulizia unapoishi...teh teh teh..lol!
 
Hey wanajf,ahsanteni sana kwa mawazo yenu.......Mi ni kidume jama,ila niliuliza kwa niaba ya rafiki(me) na mpenzi wake..Wao co wanachama wa jf..
<br />
<br />
duh! ningepoteza muda wangu kukuuliza maswali ambayo ucngenijib.nashukuru,ngoja nikazimue.
 
Hey nyalosti uliza 2,naweza kukujibu kwa niaba ya.....Kama nilivyouliza swali..Dah!Unazimua mpaka mwezi mtukufu?
 
subiri baada ya miez 9 then mwezi wa 10 itakua ime-settle sawaaaaaaaaaa ee
 
Hey nyalosti uliza 2,naweza kukujibu kwa niaba ya.....Kama nilivyouliza swali..Dah!Unazimua mpaka mwezi mtukufu?
<br />
<br />
muulize maswali haya-alianza lini na kumaliza lini mp yake? any changes noted?
 
From 5th to 8th every month.You mean which changes?
 
Back
Top Bottom