Jamani mkuu wa mkoa wangu anatulazimisha tena kwa vitisho kulipa Tsh:10000,''asiyetaka ahame mkoa wangu''anatumia ibara ya 25(3)(d) ya katiba.Kuchangia maendeleo ya taifa ni jambo jema lakini nalipa kodi kubwa (PAYE) pia nalipa indirect tax kama wengine tafadhali wadau naombeni tafsiri ya hiyo ibara hapo juu kwa anayefahamu