Naombeni msaada wenu namna nzuri ya kumkomesha huyu mwanamke!

Habari za leo wanajamvi! Nipo njia panda naombeni mnisaidie namna nzuri ya kumkomoa huyu denu!
Ishu ipo hivi, miaka ya nyuma kidogo wakati nasoma chuo UDSM, nilitokea kumpenda msichana amabaye kipindi hicho alikuwa anasoma high school. Alinikataa na badala yake akawa analiwa na lijamaa lingine.

Kwa kweli iliniuma sana maana nilikuwa sijawahi tolewa nje nikimtokea msichana yeyote...ilikuwa nawatoa kwa KO (nilikuwa sijawahi tolewa nje na msichana yeyote)nilikuwa nawatoa bikra hataree!, Ila huyu binti alinipiga za uso! Niliathirika sana kisaikolojia.

Sikukata tamaa niliendelea kumfuatilia hadi alipopata nafasi ya kujiunga chuo kikuu huko mkoani. Baadae nilisikia kapata mchumba na wako ktk harakati za kuoana, iliniuma saana!

Mungu si Athumani baada ya muda kidogo kupita nikajakupata habari kuwa huyo mume mtarajiwa alimpiga kibuti na kuoa msichana mwingine. Nilifurahi saaana baada ya kusikia habari hizo.

Baada ya kupita miezi kadhaa, nikatafuta contacts za huyu mrembo. Siku moja nikamuibukia hewani na kujitambulisha, na kumkumbusha namna alivyonimwaga kama mahindi ili kuku wanimeze.

Na nikamsisitiza bado nampenda! Alicheka kwa kimahaba...! Nikamweleza pia hali yangu ya maisha kikazi (Nipo Ofisi ya TRA makao makuu). Nikaendelea kuwa karibu naye kimawasiliano, na nilimwambia bado sijaoa (nilimdanganya maana tayari nilikuwa na mke). Nikamwomba mahusiano, bila ajizi alinikubalia!

Yeye anaishi mkoani Kilimajaro kwa sasa nimemwomba aje anitembelee Dar, ili nile mbususu yake na amekubali, bila shaka anaamini nitamuoa tu mbele ya safari, anatambua nilivyokuwa nimempenda enzi hizo! Ila kiukweli mimi ninachotaka kwake ni REVENGE...

Niliumia sana alivyonitolea nje enzi hizo akiwa binti mbichi! Sasa hivi ameona ametumika na amekosa mwelekeo anataka afie mikononi mwangu...Thubutu!

Siwezi fanya ujinga huo! Ila nataka nimkomeshe apate fundisho...Najua ametoka kwenye stress za kubwagwa! Naombeni ushauri wangu wanajamvi ili tukomeshe tabia hii chafu!

Nafikiria sijui akija nimle voda na tigo kisha nimbwage! Hebu naombeni ushauri wenu adhabu gani itamfaa demu wa aina hii!?
Ha haa unatuomba ushauri sisi Makolo ngoja kukuche tutakueleza cha kufanya
 
Utakuwa shoger wewe.
 
Mkurugenzi wa TRA makao makuu Tz
Yah:- kufukuzwa kazi kilaza chako Wamuyaya.
Husika na mada ya hapo juu
Mheshimiwa huyu Wamuyaya amelitia aibu sana shirika lako la makusanyo mapato Tanzania ombi langu kwako mlete kwangu nimle kama pork chops.
 
Unataka kujiletea milaana ya bure tu. Kama alikukataa ilikuwa ni haki yake. Na hakukufanyia vituko vyo vyote.

Kuna karma ndugu yangu. Unataka kumfanyia revenge wakati hata hakuna kosa alilokukosea. Laana hiyo itarudi ikutafune ama kwa mabinti zako na hata mkeo.

Kama unataka kumfanya mchepuko mwambie tu ukweli na kwa vile una pesa (TRA Makao Makuu) atakukubalia kama lengo lake ni pesa.

Iepuke hii laana!
Acha kutisha watu, hakuna laana yoyote hapo.

Huyo binti anapaswa kuliwa, Tena nashauri mundende utumike
 
qmyanna kabisa. sasa revenge wewe ya nini ,kula mbususu hiyo kula tena na kula tena maisha ndo haya haya hiyo revenge itakusaidia nini kula toto ulokua unaipenda wewee .ila usioe.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Habari za leo wanajamvi! Nipo njia panda naombeni mnisaidie namna nzuri ya kumkomoa huyu denu!
Ishu ipo hivi, miaka ya nyuma kidogo wakati nasoma chuo UDSM, nilitokea kumpenda msichana amabaye kipindi hicho alikuwa anasoma high school. Alinikataa na badala yake akawa analiwa na lijamaa lingine.

Kwa kweli iliniuma sana maana nilikuwa sijawahi tolewa nje nikimtokea msichana yeyote...ilikuwa nawatoa kwa KO (nilikuwa sijawahi tolewa nje na msichana yeyote)nilikuwa nawatoa bikra hataree!, Ila huyu binti alinipiga za uso! Niliathirika sana kisaikolojia.

Sikukata tamaa niliendelea kumfuatilia hadi alipopata nafasi ya kujiunga chuo kikuu huko mkoani. Baadae nilisikia kapata mchumba na wako ktk harakati za kuoana, iliniuma saana!

Mungu si Athumani baada ya muda kidogo kupita nikajakupata habari kuwa huyo mume mtarajiwa alimpiga kibuti na kuoa msichana mwingine. Nilifurahi saaana baada ya kusikia habari hizo.

Baada ya kupita miezi kadhaa, nikatafuta contacts za huyu mrembo. Siku moja nikamuibukia hewani na kujitambulisha, na kumkumbusha namna alivyonimwaga kama mahindi ili kuku wanimeze.

Na nikamsisitiza bado nampenda! Alicheka kwa kimahaba...! Nikamweleza pia hali yangu ya maisha kikazi (Nipo Ofisi ya TRA makao makuu). Nikaendelea kuwa karibu naye kimawasiliano, na nilimwambia bado sijaoa (nilimdanganya maana tayari nilikuwa na mke). Nikamwomba mahusiano, bila ajizi alinikubalia!

Yeye anaishi mkoani Kilimajaro kwa sasa nimemwomba aje anitembelee Dar, ili nile mbususu yake na amekubali, bila shaka anaamini nitamuoa tu mbele ya safari, anatambua nilivyokuwa nimempenda enzi hizo! Ila kiukweli mimi ninachotaka kwake ni REVENGE...

Niliumia sana alivyonitolea nje enzi hizo akiwa binti mbichi! Sasa hivi ameona ametumika na amekosa mwelekeo anataka afie mikononi mwangu...Thubutu!

Siwezi fanya ujinga huo! Ila nataka nimkomeshe apate fundisho...Najua ametoka kwenye stress za kubwagwa! Naombeni ushauri wangu wanajamvi ili tukomeshe tabia hii chafu!

Nafikiria sijui akija nimle voda na tigo kisha nimbwage! Hebu naombeni ushauri wenu adhabu gani itamfaa demu wa aina hii!?
Tanzania will never, ever develop Kwa kuwa na mabanzi kama wewe

Women have rights too
 
Unaongea hivyo wewe kwa sababu ni mwanamke maybe! Babu yangu alishawahi niambia kuwa kuwa ukimtokea demu akikukataa....ujue nuksi/gundu! Sikuwahi katataliwa na demu maishani mwangu...huyo demu alivunja record yangu! Nina hasira naye!

Umesema una mtoto
Aiseeeee ni hasara tupu kwanzia wewe hadi kwa huyo baba yako
Pathetic!!!
 
Usishindane wala kupania kulipiza mwanamke. Kupigwa tofali na vibuti ni vitu vya kawaida sana, dont take it personal, move on. Halafu supply ya wanawake mbona ni kubwa sana kustress akili na huyo.
 
Back
Top Bottom