Naombeni msaada wenu namna nzuri ya kumkomesha huyu mwanamke!

Wamuyaya

Member
Apr 4, 2021
72
68
Habari za leo wanajamvi! Nipo njia panda naombeni mnisaidie namna nzuri ya kumkomoa huyu denu!
Ishu ipo hivi, miaka ya nyuma kidogo wakati nasoma chuo UDSM, nilitokea kumpenda msichana amabaye kipindi hicho alikuwa anasoma high school. Alinikataa na badala yake akawa analiwa na lijamaa lingine.

Kwa kweli iliniuma sana maana nilikuwa sijawahi tolewa nje nikimtokea msichana yeyote, ilikuwa nawatoa kwa KO (nilikuwa sijawahi tolewa nje na msichana yeyote)nilikuwa nawatoa bikra hataree!, Ila huyu binti alinipiga za uso! Niliathirika sana kisaikolojia.

Sikukata tamaa niliendelea kumfuatilia hadi alipopata nafasi ya kujiunga chuo kikuu huko mkoani. Baadae nilisikia kapata mchumba na wako ktk harakati za kuoana, iliniuma saana!

Mungu si Athumani baada ya muda kidogo kupita nikajakupata habari kuwa huyo mume mtarajiwa alimpiga kibuti na kuoa msichana mwingine. Nilifurahi saaana baada ya kusikia habari hizo.

Baada ya kupita miezi kadhaa, nikatafuta contacts za huyu mrembo. Siku moja nikamuibukia hewani na kujitambulisha, na kumkumbusha namna alivyonimwaga kama mahindi ili kuku wanimeze.

Na nikamsisitiza bado nampenda! Alicheka kwa kimahaba! Nikamweleza pia hali yangu ya maisha kikazi (Nipo Ofisi ya TRA makao makuu). Nikaendelea kuwa karibu naye kimawasiliano, na nilimwambia bado sijaoa (nilimdanganya maana tayari nilikuwa na mke). Nikamwomba mahusiano, bila ajizi alinikubalia!

Yeye anaishi mkoani Kilimajaro kwa sasa nimemwomba aje anitembelee Dar, ili nile mbususu yake na amekubali, bila shaka anaamini nitamuoa tu mbele ya safari, anatambua nilivyokuwa nimempenda enzi hizo! Ila kiukweli mimi ninachotaka kwake ni REVENGE.

Niliumia sana alivyonitolea nje enzi hizo akiwa binti mbichi! Sasa hivi ameona ametumika na amekosa mwelekeo anataka afie mikononi mwangu...Thubutu!

Siwezi fanya ujinga huo! Ila nataka nimkomeshe apate fundisho. Najua ametoka kwenye stress za kubwagwa! Naombeni ushauri wangu wanajamvi ili tukomeshe tabia hii chafu!

Hebu naombeni ushauri wenu adhabu gani itamfaa demu wa aina hii!?
 
Unataka kujiletea milaana ya bure tu. Kama alikukataa ilikuwa ni haki yake. Na hakukufanyia vituko vyo vyote.

Kuna karma ndugu yangu. Unataka kumfanyia revenge wakati hata hakuna kosa alilokukosea. Laana hiyo itarudi ikutafune ama kwa mabinti zako na hata mkeo.

Kama unataka kumfanya mchepuko mwambie tu ukweli na kwa vile una pesa (TRA Makao Makuu) atakukubalia kama lengo lake ni pesa.

Iepuke hii laana!
 
Attachments

  • Screenshot_20220712-110917.jpg
    Screenshot_20220712-110917.jpg
    60.9 KB · Views: 26
Hivi ni kwa nini baadhi ya wanaume huwa mnaamini mkitongoza lazima mkubaliwe?? Mkikataliwa mnajenga chuki huwa nashangaa sana.
Unaongea hivyo wewe kwa sababu ni mwanamke maybe! Babu yangu alishawahi niambia kuwa kuwa ukimtokea demu akikukataa....ujue nuksi/gundu! Sikuwahi katataliwa na demu maishani mwangu...huyo demu alivunja record yangu! Nina hasira naye!
 
Basi we mbomoe tu na ndom hamna jinsi
 
Unataka kujiletea milaana ya bure tu. Kama alikukataa ilikuwa ni haki yake. Na hakukufanyia vituko vyo vyote.

Kuna karma ndugu yangu. Unataka kumfanyia revenge wakati hata hakuna kosa alilokukosea. Laana hiyo itarudi ikutafune ama kwa mabinti zako na hata mkeo.

Kama unataka kumfanya mchepuko mwambie tu ukweli na kwa vile una pesa (TRA Makao Makuu) atakukubalia kama lengo lake ni pesa.

Iepuke hii laana!
Ndio umeamua kunipa vitisho siyo!

Binti wa kichagga.
PESA kwake ni sawasawa na IZI na NYA! Alivyosikia TRA najua mapigo ya moyo yalipanda.
 
Unaongea hivyo wewe kwa sababu ni mwanamke maybe! Babu yangu alishawahi niambia kuwa kuwa ukimtokea demu akikukataa....ujue nuksi/gundu! Sikuwahi katataliwa na demu maishani mwangu...huyo demu alivunja record yangu! Nina hasira naye!
Sio kila neno ukiambiwa lazima ufate mengine ni upotoshaji tu, ushauri wangu muache tafuta mwanamke mwingine wachana na mambo ya kumkomesha mtu ambae hana makosa kumkataa mtu sio dhambi aisee
 
Back
Top Bottom