Naombeni msaada wa haraka waungwana

mahirtwahir

JF-Expert Member
Jan 12, 2013
613
311
Ni siku ya 3 leo tika niajiriwe na kujaza mkataba nimepangiwa kituo kidogo cha kufanyia kz ila hapo nilipopangiwa hakuna kazi ni kusaga ---- tuu kwenye bao

Watu wananishauri kua niombe nibakie ofisi kuu kwani ndio kuliko na kazi na ulaji.

Jeeee jamani naruhusika kuomba na mkataba unasema nitafanya kz popote?
 
We saga tu.......kama mshahara unapata tulia mpaka baada ya miez kadhaa ndio unaweza kuomba uhamisho
 
Back
Top Bottom