Naombeni msaada (SAUT)

Aug 11, 2012
76
3
nimepangiwa
SA002
Bachelor of Arts in
Public Relations and
Marketing
St. Augustine
University of
Tanzania

je Ni Tawi la Mwanza au Ni Lingine????
 
Kama kipo wakubwa naomba msaada wa mawasiliano nao na join intruction yao maana nimeingia website yao hakuna kitu wakuu
 
dogo kwa kukusaidia saut BAPRM kwa sasa iko karibu matawi yake yote hasa tabora, bukoba na songea fungua web ya saut angalia kwenye join instruction utaipata
 
yap Nimesoma Join Instruction Inasema
coz abazo wao wenyewe wanakupangia na Sio TCu ni Education,Busness Admi ,Law na Socialogy nio Unasambazwa Tabora Songea ba Bukoba..
 
Msaada jamanii TCU imenipa posta ya kwenda SAUT-BUKOBA - coarse ya BAED alafu nikiangalia kwenye list selected applicant wa SAUT MAIN compus wala sipo ni nikiangalia kwenye website ya SAUT-BUKOBA branch hawajatoa list ya selected applicant alafu nikiwapigia wanasema niangalie kwenye Main compus ndio kuna list zote apa nimechanganyikiwa sielewi wakuu naomba msaada
 
PDF education Bado Haijatoka...
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom