Naombeni msaada, nimetapeliwa

udes

Senior Member
Jan 21, 2023
103
123
Hapa nilipo Hali yangu sio nzuri naomba mniombee ,,katika harakati za kutafuta mtaji niliingia fb nikakuta tangazo la kukopeshwa fedha kwa liba nafuu (nikasema hii ndio fursa,nikachukue mawasiliano Yao wakanielekeza kuwa wanatoa mikopo kwanzia laki mbili Hadi Milion Kumi, kwa kuweka akiba sawasawa na akiba yako,,mie nikaweka 84000 ambayo nimekopa kwa rafiki yanguu ,,baada ya kutuma hawapokei Simu ,,Wala sms hawajibu !
Namba zao zipo ntaweka ushahidi hapa naomba mnisaidie nifanyee nn ili nipate haki yangu??
Screenshot_20230622-091722.jpg
 
Hapa nilipo Hali yangu sio nzuri naomba mniombee ,,katika harakati za kutafuta mtaji niliingia fb nikakuta tangazo la kukopeshwa fedha kwa liba nafuu (nikasema hii ndio fursa,nikachukue mawasiliano Yao wakanielekeza kuwa wanatoa mikopo kwanzia laki mbili Hadi Milion Kumi, kwa kuweka akiba sawasawa na akiba yako,,mie nikaweka 84000 ambayo nimekopa kwa rafiki yanguu ,,baada ya kutuma hawapokei Simu ,,Wala sms hawajibu !
Namba zao zipo ntaweka ushahidi hapa naomba mnisaidie nifanyee nn ili nipate haki yangu??View attachment 2665310
Usiwe na haraka bado wanachakata mkopo wako wakikamilisha mambo yatakuwa mbambamba.
 
Hiyo elf 83 ya rafiki ako angekupa elf 20 tu ukatafuta location yenye watoto ukiwauzia vi barafu vi kacholi nk nk siku mbili hadi tatu ungerudisha hiyo 20 ya watu unaendelea na mishe zako mdogo mdogo....

Katika akili za kawaida tu ww unaweza kumpa mtu mkopo huku online humjui, hujui anakaa wapi, unampa tu??
 
Hapa nilipo Hali yangu sio nzuri naomba mniombee ,,katika harakati za kutafuta mtaji niliingia fb nikakuta tangazo la kukopeshwa fedha kwa liba nafuu (nikasema hii ndio fursa,nikachukue mawasiliano Yao wakanielekeza kuwa wanatoa mikopo kwanzia laki mbili Hadi Milion Kumi, kwa kuweka akiba sawasawa na akiba yako,,mie nikaweka 84000 ambayo nimekopa kwa rafiki yanguu ,,baada ya kutuma hawapokei Simu ,,Wala sms hawajibu !
Namba zao zipo ntaweka ushahidi hapa naomba mnisaidie nifanyee nn ili nipate haki yangu??View attachment 2665310
Yani ushapigwa. Sijawahi kuelewa inakuaje mtu ana akili zako zote unaona tangazo mtandaoni unatuma pesa. Kama watu wanatapeli mitandao ya simu, ije kuwa mtu akukope pesa hajui hata location yako?
 
Hiyo elf 83 ya rafiki ako angekupa elf 20 tu ukatafuta location yenye watoto ukiwauzia vi barafu vi kacholi nk nk siku mbili hadi tatu ungerudisha hiyo 20 ya watu unaendelea na mishe zako mdogo mdogo....

Katika akili za kawaida tu ww unaweza kumpa mtu mkopo huku online humjui, hujui anakaa wapi, unampa tu??
Kwana TALA NA Branch wanatujua .. sema wao ndio waligeuziwa kibao pigwa kama ngoma
 
Back
Top Bottom