Naombeni msaada,Laptop yangu imegoma kufunguka

Mutta

Senior Member
Mar 24, 2011
101
11
Laptop yangu ni aina ya ACER,Jana nilimpelekea rafiki yangu akaniwenikea Program ya IDM,baadaye akafungua hard disk kwenye partion D na kuscan Virus.Nilipofika nyumba ili nianze kufanya kazi zangu ikaandika NTLDR is missing,press any key to start,ukipress inaendelea na maneno yaleyale.Naombeni msaada
 
Ikishindikana run live ya Linux fanya back up then safisha yote uweke win upya. Or u could install Linux os ukaepukana na hayo matatzo
 
Back
Top Bottom