Naombeni msaada kuhusu Geological time scale

Haina lugha nyepesi iyo ni Geology hamna janja Janja.

Yaani ni kama Family Tree ya dunia tokea iumbwe. Hiyo scale inaigawanya dunia katika vipindi kadhaa kadhaa tokea iumbwe, kwa kuzingatia viumbe walioishi iko kipindi, miamba iliyokuwepo enzi izo.
 
Shukran
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom