Naombeni msaada jamani

kwisha

JF-Expert Member
Sep 9, 2021
1,666
4,365
Naombeni msaada jamani kama kuna yeyote anaweza kujua dawa ya matatizo haya anisaidie.

Mimi ni mwanaume lakini nimekuwa na tatizo la kukuwa kwa makalio yangu, nimekuwa na shape kama mtoto wa kike.

Mimi siyo shoga lakini kwasababu ya matatizo yangu haya kuna watu tayari wameanza kunihisi vibaya na wengine kunitamani kabisa kama mtoto wakike, mpaka kwasasa najisikia aibu ya kutembea mtaani kwetu, nakaa ndani usiku na mchana.

Ningelikuwa na uwezo ningelikwenda uko Uturuki kupasuliwa lakini maisha yangu ni bandika bandua tu.

Kama kuna yeyote anajua dawa naomba anisaidie jamani.
 
Tafuta definition ya Liberty then i apply kwenye maisha yako ila tu usivunje sheria za nchi.....

Kuna mtu unaishi maisha yake?
Kuna mtu anakuvisha?
kuna mtu unamsaidia kupumua hewa yake?
kuna mtu anakulisha au unakula kwa sababu yake?

Acha ufala kula maisha ishi utakavyo na dunda mtaani kama kawa, ushauri wa mwisho kama ww ni mwislam na umeona imeshindikana sana basi pendelea kuvaa kanzu pana kiasi nahisi itakusaidia kuficha vibrations za makalio yako...
 
Pia punguza kula kula vyakula vya mafuta, nyama na bia kama vipi... Badili mtindo wa kula, anza kula kama mtu mwenye mshono/operation naimani itakusaidia...
Naombeni msaada jamani kama kuna yeyote anaweza kujua dawa ya matatizo haya anisaidie.

Mimi ni mwanaume lakini nimekuwa na tatizo la kukuwa kwa makalio yangu, nimekuwa na shape kama mtoto wa kike.

Mimi siyo shoga lakini kwasababu ya matatizo yangu haya kuna watu tayari wameanza kunihisi vibaya na wengine kunitamani kabisa kama mtoto wakike, mpaka kwasasa najisikia aibu ya kutembea mtaani kwetu, nakaa ndani usiku na mchana.

Ningelikuwa na uwezo ningelikwenda uko Uturuki kupasuliwa lakini maisha yangu ni bandika bandua tu.

Kama kuna yeyote anajua dawa naomba anisaidie jamani.
 
Huwezi kupunguza mafuta katika eneo fulani (yaani kitako, tumbo) kwa kufanya mazoezi pekee. Hiyo inaitwa kupunguza doa na hiyo haiwezekani.
Ambavyo tunapata na kupoteza mafuta mengi zaidi inategemea genetics. Hii haimaanishi kuwa wewe ni mhanga.
Unahitaji tu kuendelea kupunguza mafuta ya mwili wako. Hili likitokea utaona mafuta katika maeneo yote yanapungua...ikiwa ni pamoja na Kitako a.k.a Kalio.
Ili kupoteza mafuta, utahitaji kula kwa upungufu wa kalori (kula kalori kidogo kuliko unavyochoma). Kunyanyua uzani kutakusaidia kudumisha misuli unapokuwa na upungufu wa kalori.
Mazoezi japo ni muhimu sana, hasa ya kunyanyua uzani katika kiasi sahihi...fanya squats sana pia na kukimbia piaa.
Natumai hii inasaidia
 
Hauko peke ako kuna jamaa tunaishi nae huku street sasa si bora wewe mattercall tu yeye ana sura ya mama yake lips km uwoya macho km kalishwa kungu alafu ni mtoto wa kiume dadeq vidume wanameza mate..

Muacheni MUNGU aitwe MUNGU cha kufanya ishi maisha yako then fight sana uoe alafu zalisha watoto wa kike tu wa kutosha ili ujijengee heshima dzain wafanane na baba yao yaan mtoto tacall tacall naam utavuna mahari za kutosha..

Nitarudi..
 
Back
Top Bottom