Naombeni msaada jamani kuhusu modem yangu

steveachi

JF-Expert Member
Nov 7, 2011
9,573
10,276
modem yangu ni vodafone K-3565-Z,niliiflash na wakaniwekea software ya 'ZTE-join air' nikawa natumia line ya airtel kama kawa kwa muda mrefu tu,sasa hivi ingawa nina bundle ya mb400 lakini inanigomea kuconnect kwa wiki nzima sasa,inaniambia connect failed,yaana napata shida sana kuaccess net kwenye kompyuta,naombeni msaada wenu wa kitechnic wa kutatua tatizo hili
 
nimerecharge kaka lakini bado inaniletea sarakasi zilezile,cjui tatizo zaidi ni nini
 
napoconnect tu inataka kuanza kuconnect then haiendelei inaniambia 'connect fail',basi mchezo ndo unaishia hapo kaka
 
kwa kuwa haiwezi kuconnect ctaweza kuingiza hyo link kwenye net,au niende internet cafe nikafanye hvyo kaka?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom