Point of No Return 19
Senior Member
- Jul 2, 2023
- 194
- 458
Wanasema uwoga wako ndiyo umaskini wako....... Najiona mjinga,mpumbavu na nisiyekua na akili..... Mimi ni binti, wa 20+. Nimehangaika mnoo hapa nilipo Nina 2.5 MIL. Ambayo nimeipata ndani ya mwaka 1.5 kwa taabu mnooo. Kwakudunduliza kidogo kidogo. Huku na huko.......
Mimi natamani kuwa Yule ninayetaka kuwa, Nawaona wasichana WENYE umri wangu wakiwa na mafanikio makubwa,,,,,Wana biashara zao, office zao nk. Mimi Sina chochote,hata nilipotafuta Sana kazi sikuwahi kuipata ,na Sasa nimeachana na habar za kutafuta kazi....
Natamani kuwa mfanyabiashara,natamani nikijiona nainuka kiuchumi,,,,natamani kujiona nipo kule juu. Nachanganyikiwa hata sielewi nifanye nini?? Mabinti wenzangu,mliwezaje kupiga hatua ???? Mliwezaje kufanikiwa ???
Natamani kufungua duka la vipodozi, naona pesa haitatosha .....naamua nitafute laini za uwakala nianze na uwakala nipate kuongezea mtaji. Mabinti wenzangu,nataman kuwa Kama nyie. Imagine kesho jumatatu naamka na Sina pakwenda 😢😢😭😭😭 Basi nalala ndani
KUMBUKA najitegemea kwakilakitu,bill,rent,chakula n.k. Naombeni MNIPE nguvu,UJASIRI niweze KUTHUBUTU
Sitaki kujiona nipo hapa nilipo.....
NAUMIA,
Mimi Muoga naogopa kupoteza,
Najiona mpumbavu 😭😭😢