Naombeni maujanja yetu yaleee

KakaJambazi

JF-Expert Member
Jun 5, 2009
18,711
12,067
Wanaume:Ivi ukimtokea demu afu akakujibu ninamtu tayari ni maujanja gani ambayo mnatumia mpaka anachojoa?
(Hapa ni serious kabisa yuko in relationship)
Wakuu mi nikiambiagwa hivyo huwa domo linajaaga zege.

Kitu kingine,, mfana ameshakua tayari ni demu wako, siku ukija kumfumania afu akakujibu kuwa nilishakwambiaga nina mtu mtu mwanzo wa mapenzi yetu,,utamkoromea?

Mwanamke: Ni mistari gani mikali ambayo dume akikwambia au ulishawahi ambiwa ambayo ulikufanya umchojoeee viwalo?
 
kakaaaa! yani we ndo mimi.
kiukweli mi nikiambiwa ivyo hua sioneshi usoni lakini hua nakosa pozi kabisa.
haswa pale unapokua unamtaka mtu siriaz.

-kama humtaki 4life ni rahisi, koz unamweleza tu ukweli kua ye na jamaake wataendelea
na mahusiano yao na we utayaheshim. (ope relation wanaita)
- kama upo 4 life inabidi uoneshe na umfanye aamini kweli unampenda.hili jibu mara nyingi
hua i defence mechanism na test kubwa yakupima how siriaz mwanaume is.
-kwa ujumla jibu hili halina dawa nyingine zaidi ya msisitizo wa nia yako na uwezo
wa kudhibiti hoja pingamizi za upande wa pili.
kwa hyo inakubidi ukomae ili kama alikua anzuga aamini kweli unamtaka kwa dhati.

Nwasubiri wadada waseme saundi kali kwaoni ipi!
 
Yaani wakati mwingine nakutana na mtoto wa ukweli, najisemea moyoni 'akinikubali natangaza ndoa',,lakini ndo ivo anakujibu ninampenzi tayari,,it hurts vibaya mno.
 
Yaani wakati mwingine nakutana na mtoto wa ukweli, najisemea moyoni 'akinikubali natangaza ndoa',,lakini ndo ivo anakujibu ninampenzi tayari,,it hurts vibaya mno.

sasa mbaya ni ile ukute mtoto hazugi.
bora wenngine hua ni nataka sitaki, ukimkomalia unashangaa jibu linakua tofauti
na lile la mwanzo.

Me ilinikuta hyo nikakomaa nayo ila mwisho wa siku niliambulia kadi ya sendoff.
 
Pole sana,, kama uliichangia inamaana uliruhusu kwa moyo mmoja jamaa akasugue kisigino.
 
Aaah,we akikuambia hivyo kaza uzi atachojoa tu,kuhusu mistari inategemea na dem huwa mistari ikimvutia huyu yule inaweza isimvutie!
 
kuwa na mtu sio hoja! Fanya uchunguzi kama unampenda huyo msichana. Jaribu kufahamu boyfriend wake ni nani, ana status gani, wamejuana lini, tabia zake etc. Pia kama unampenda sana, embu weaknesses za bf zitumie ziwe strengths zako. Hapo unaweza kumu win huyo msichana. Lakini kumbuka kama huyo mvulana anampenda kweli huyo msichana, na ukaweza kumuwin huyo msichana, utakuwa umemuumiza sana jamaa!
 
Sasa kuchojoa si mpaka muwe faragha ? na mwanamke akishakubali kuwa chumbani peke yenu ujue nusu ya kazi umemaliza hapo juhudi kidogo mambo jekete.
 
Huyo ni wa kumpotezea, tafuta wake ambaye hana mtu ili uweze kuwa na mahusiano yenye amani..uwe na uhuru nae.labda kama unataka umtumie kwa muda huo huo poa.utakuwa unaishi kwa wasi wasi kwani kila mara utakuwa unahisi yuko kwa jamaa. uaminifu wa mapenzi hautakuwepo kabisa
 
Wanaume:Ivi ukimtokea demu afu akakujibu ninamtu tayari ni maujanja gani ambayo mnatumia mpaka anachojoa?
(Hapa ni serious kabisa yuko in relationship)
Wakuu mi nikiambiagwa hivyo huwa domo linajaaga zege.

Kitu kingine,, mfana ameshakua tayari ni demu wako, siku ukija kumfumania afu akakujibu kuwa nilishakwambiaga nina mtu mtu mwanzo wa mapenzi yetu,,utamkoromea?

Mwanamke: Ni mistari gani mikali ambayo dume akikwambia au ulishawahi ambiwa ambayo ulikufanya umchojoeee viwalo?

Kaka jambazi maneno yako yanaonesha kua yameshakutokea.... (kufumania i mean)... mana haiwezekani unataka kumtongoza na tayari unafikiria kumfumania...
 
kiukwel unatakiwa kuwa muaz.ploys sk hizi hazisaidii sana.watoto wenyewe si unawaona.kila kitu wanajua
 
Mwanamke: Ni mistari gani mikali ambayo dume akikwambia au ulishawahi ambiwa ambayo ulikufanya umchojoeee viwalo?

Najua unajua sio uzuri wako umenileta kwako,
najua mimi nawe hatuwezi hatutafika popote,
najua pia kua hutuwezi blend katika jamii yetu tokana na tofautu zetu,
ila uhakika nilo nao juu yako ni kua wote tunataka mno hii kitu....

Jaribu hio mistari kaka jambazi maybe itafanya kazi...
 
duh kitu gani hyo, wengne under 18 hatujui

Inapendeza junior Cux, kama uko under 18 na hujaelewa inatakiwa ibaki hivyo,
ukivuka tu hio age nikumbushe then nitadadafua... mana kinachosemwa hicho
ni all terms and conditions apply above 18...
 
Kazi kwelikweli! Nachukia sana kushea, nikiambiwa hivyo, haijalishi anabeep au ni kweli, mimi huwa natoka NDUKI!!
 
Demu mwenye mtu wa kazi gani kaka?maradhi nje nje siku hizi.tafuta wa kwako na uwe mwaminifu.
 
Back
Top Bottom