Naombeni maujanja yetu yaleee

Hah mnaniuzi mapenzi siasa ya nini kamata kitoga tema sheet live sister samahani mi na zamkwezi kama zinalipa tuzame ndichi
 
imagin ni demu wako then kamjibu mshikaji hivyo na mshikaji kachukua jibu kalileta jamiiforums tujadili wewe mwenye demu utajisikiaje? TULIA KIJANA, HUNA CHAKO PALE, REALY WE NI DOMO ZEGE!
 
Mi nadhani ni special kwa wale wanaozuga kuwa wana jamaa au jamaa zao wanawazingua sana kwa sababu kama demu katulia na yuko serious na jamaa yake ni vizuri kuheshimu mahusiano yake na huyo wa kiume mwenzio (remember 'what goes around comes around')
Ila kwa wale wanaoitumia kama silaha au kweli ana jamaa lakini wanazinguana, komaa na umwonyeshe unavyomkubali. Ni vizuri ukijua weaknesses za huyo wanayezinguana naye kama yupo na kuzifanya ziwe strenghts kwako, na zingatia kumwonyesha kuwa unampenda yeye na sio kuwa unamchukia jamaa yake. Kwa kifupi usionyeshe kujali mahusiano yake ila JINSI WEWE UNAVYOMJALI NA KUMPENDA.
Nasisitiza kuwa ni vizuri kuheshimu mahusiano yake kama yako serious
 
asee...watu nomaaa,we umeambiwa ana mtu then we bado unakomaliaaa mademu wa wazee wengine!!hivi we mchuchu wako akiwa na wewe afu jibaba nimkomalie kama wewee.daaaaaah!!!!!!!!!kwa halii hii usalitiii hauwishii
 
Back
Top Bottom