Naombeni maoni yenu kuhusu hili.

halafu out yenyewe wanalazimisha utasikia anabeep ukipiga anauliza upo wapi ukimwelekeza anakuja na wenzake lukuki halafu asubuhi antaka mishiko tena hawa watu vipi hawa!!

Sasa hao ni wachunaji tu,ukiona unamuita anakija na wenzie basi ujue hakupendi hana huruma na wewe hata kidogo huyo..
 
siku zote mwanamke atabaki mchunaji,na mwanaume mchunwaji...:redfaces:

hiyo ni kwenye hela, ila kitandani is opposite, lazima uchunwe ulipe, alaaaahhh, kuna demu mmjoa alikimbia akaacha chupi Arusha, alijidai anaenda toilet ndio kimoja, usipende vya bure, sometimes utakimbia
 
Hata kama anafanya kazi anataka wewe akukamue 2!!
Nilipokuwa chuo utakuta binti anaomba kurushiwa credt kwenye simu ya 250!!!!Hii ni aibu mjirekebishe jamani hizo hulka zenu..

Mimi siku zote huwa najiuliza ivi wasichana ni wabahili au wanafanya makusudi,inatokea siku mnatoka out wewe(mwanamme) ndo umemwambia mtoke out sio mbaya mwanaume kulipia gharama zote..

Ikitokea yeye siku iyo ndo ameomba yeye mtoke out then mnafika labda mnaagiza misosi yaani bites mavinywaji,then inafikia wakati wakulipa wewe ndo unategemea atalipa lakini unamuona hata hatikisiki kuonesha anajiandaa kulipa hamna,mwanamme we inabidi ujipinde ulipe ivi kwa nini lakini hawa viumbe..

Sasa nauliza ukiona hivyo ndo hujue unachunwa au hulka za wanawake kwamba mwanaume ndo anapaswa kuwa responsible au ndo wanaogopa kuonekana wanawahonga wanaume..................kwa maoni yangu mimi naona cost sharing inapendeza zaidi..
 
mimi niko tofauti,huwa napenda kulipiwa na mpenzi ila pia huwa najisikia furaha na mimi kumlipia sometimes,kuna siku unaweza kuomba mtoke lkn akadai hayuko vizuri hivyo kama mimi ninayo pesa na najisikia tutoke nagharamia!
 
Asante.....
 
Hapo kuna hulka kadha wa kadha. Kuna baadhi ya wanaume ukilipa bill wanalalamika kwanini wamuaibisha kwani yy hawezi lipa? Kuna wengine sasa wanapenda sharing cost, kuna wale wenzangu wenye misifa kulipa bill halafu wanaenda kulia machungu ya bill ******. Pia mfumo dume huchangia. Swali kwa wasemao mwanaume ni kichwa alipe bill mbona wakipata mishahara yao hawawapi wanaume kupanga bajeti maana wao c vichwa bwana? Pia kule beijin walijadili haki sawa isipokuwa kwenye kulipa gharama ama...? Pia haka katabia ka kuitwa mmoja mnakuja lundo kangeendelea mpaka kwenye mauroda mnaingia wote kama mlivyokuja...
 
Hahaha homeboy hapo kwenye stars umesababisha usingizi wangu ukatike! Lol! Na nakupa credit kwenye hiyo ya kuja lundo wanakera sana! Kadude ka thanx sikaoni nakugongea baadae!
 
C unakumbuka ile ya kulipa bill na kuanza kulia kwani ulilazimishwa kama huna huna tu..
 
Mimi siku zote huwa najiuliza ivi wasichana ni wabahili au wanafanya makusudi,inatokea siku mnatoka out wewe(mwanamme) ndo umemwambia mtoke out sio mbaya mwanaume kulipia gharama zote..

Ikitokea yeye siku iyo ndo ameomba yeye mtoke out then mnafika labda mnaagiza misosi yaani bites mavinywaji,then inafikia wakati wakulipa wewe ndo unategemea atalipa lakini unamuona hata hatikisiki kuonesha anajiandaa kulipa hamna,mwanamme we inabidi ujipinde ulipe ivi kwa nini lakini hawa viumbe..

Sasa nauliza ukiona hivyo ndo hujue unachunwa au hulka za wanawake kwamba mwanaume ndo anapaswa kuwa responsible au ndo wanaogopa kuonekana wanawahonga wanaume..................kwa maoni yangu mimi naona cost sharing inapendeza zaidi..

sio wote wenye tabia hizi wapo waelevu ambao huwa wanapenda cost sharing some times, kwa ushauri tu ni kuwa epuka wanawake wa namana hizi
1- mwanamke atakaekugeuza wewe mlingoti yaanai anakuegemea 100%, ukikatika ujue yeye hatoanguka atatafuta mlingoti mwingine
2-mwanamke anaekugeuza tela yaanianakuvuta wewe ni kufuata tu(well to do chenchedas) coz ukienda kinyume na yeye anakata tela na kuunga lingine, opt for cost sharing ladies coz most of them are very understanding, they are for true love not for bandubandu na wanajitambua, ukimpata wa namna hii hutaona kasoro ya mwanamke duniani

nota belle; jukumu la maitanance kwa familia ni la mwanaume kwa mujibu wa sheria yetu ya ndoa 1971, lakini hilo ni la wanandoa so hata wale wasio ktk ndoa wanajaribu kuitumia nafasi hiyo
 
C unakumbuka ile ya kulipa bill na kuanza kulia kwani ulilazimishwa kama huna huna tu..
hahaha ile ni noma jamaa kaona bili imekua kubwa kaenda kulilia ****** yaani kuna vituko duniani humu!!
 
Si mlishasema wanaume ndo kila kitu? head of the houses... utamaduni ndo umeshaji jenga hivyo, wanaume ndo watoa hela
Pia kuna wanaume wengine wanaona aibu mkiwa mahali fulani eti mwanamke ndo anatoa pesa/kulipa
 
Back
Top Bottom