Naombeni jina la mtoto wa kike

Jina lolote litakalonipendezea liwe la kikristo
(1) Nuru = lightness, brightness, shine, Illuminata , Enlightener ,nk.

(2) furaha= happiness, Joyce, Gladness Etc

Rodda, veneranda, Antonia, Agustina, severina, Emanuela, Paulina, Patrisia, Poinsiana, Filipina, Teobista, Febronia, Wilhelmina, marselina, Donatila, Fransiska, Anjelina, Stefania, Atanasia.
 
Jina humbeba mtu hatima yake

Mpe jina la Mwanamke maarufu kwenye Biblia aliyezaa Kiongozi mkubwa wa Israel mfalme Daudi Mwite Ruth

Usimpe jina sijui la bibi au shangazi nk wakati hawana Cha maana walicho achieve kwenye maisha
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom